TFF mkibadili sheria namba 4 tunapeleka suala Mahakamani

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,252
Tumemsikia na kusoma mitandaoni Juu ya Klabu ya Yanga kuomba kuutumia Uwanja wa Aman Zanzibar.Kwa mujibu wa Kanuni za Ligi namba 4 inazuia kutumia uwanja nje ya Tanzania bara.Kiongozi wa Yanga ametamba kuwa kanuni sio msahafu zitabadilishwa.Tunachosema endapo TFF itaebdelea Na upendeleo wake Kwa Yanga Kwa kubadili Kanuni tutapeleka kesi Mahakamani.TFF isitusababishie Gharama za kusafiri Kwa ajili ya Yanga.
 
Kwani Yanga yeye hatasafiri?
 
Mbumbumbu in Wacheza Netball wanajua kanuni lakini wanaleta ubabaishaji wao
 
Mm shabiki wa kagera ila yanga kuomba uwanja wa Amaan nimefrai mno
 
Zile ni KANUNI za ligi sio SHERIA.... acha povu manukato
 
Yanga wamekubali kutumia uwanja wa kaunda
 
Napendekeza SIMBA watumie Bunju stadium while YANGA waende zao Kaunda stadium full stop.
 
sasa ww wa mbumbumbu sc yanakuhusu nn?haujui kuwa ile mechi aliyowatoleen kichuya dirishan wakimataifa tulikuwa wenyeji?au ndio umbumbumbu huo?
 
Ndo tabu ya kushabikia timu zina umri wa babu lakini viwanja hazina...wapo vizuri kwenye kuvunja nazi na kuzika pmbu za mbuzi na mapaka katikati ya uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…