mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Tumemsikia na kusoma mitandaoni Juu ya Klabu ya Yanga kuomba kuutumia Uwanja wa Aman Zanzibar.Kwa mujibu wa Kanuni za Ligi namba 4 inazuia kutumia uwanja nje ya Tanzania bara.Kiongozi wa Yanga ametamba kuwa kanuni sio msahafu zitabadilishwa.Tunachosema endapo TFF itaebdelea Na upendeleo wake Kwa Yanga Kwa kubadili Kanuni tutapeleka kesi Mahakamani.TFF isitusababishie Gharama za kusafiri Kwa ajili ya Yanga.