TFF, mkimfungulia Manara, Wambura na Shaffih Dauda pia waachiwe

TFF, mkimfungulia Manara, Wambura na Shaffih Dauda pia waachiwe

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Hongereni sana TFF kwa kulinda nidhamu ya taasisi yenu, hata hivyo mnatuacha njia panda sana kwan baada ya mwezi mmoja au 2, zungu pori atasamehewa, licha ya makosa yake kujirudia rudia lakini jamaa ameendelea kutukana bila woga.Wangapi wamefungiwa wakaachiwa.

Mbwana Makata na David Naftari wako wap, c walikula miaka 5, Leo wamepunguziwa groups, kwa namna mpira wetu ulivvojaa makando kando soon ndani ya mwezi mmoja au miwili mzungu pori ataondolewa kifungo na ataendelea kutukana kama kawaida.

Michael Wambura ameadhibiwa vikali sana, amepigwa maisha, Shaffih Dauda naye hivyo hivyo, wote hao wanasugua vibano vya TFF, najua Manara atasemehemewa kwa msukumo flan lkn guys, this man is not disciplined.
 
Back
Top Bottom