TFF mlichokifanya kwa Simba kuahirishiwa mechi mngekifanya kwa Kitayosa pia

TFF mlichokifanya kwa Simba kuahirishiwa mechi mngekifanya kwa Kitayosa pia

Tatizo Tabora United walifanya kwa mazoea walichukulia simple tu kisa wanae Rage,, sijawahi kuona viongozi wa timu wakifungiwa maisha kwa upangaji matokeo na timu isipate adhabu yoyote au matokeo kufutwa,, walizoea mbeleko na sasa limechanika
Alafu ninachojiuliza kama hawa wachezaji 12 wa kigeni walikua hawajakamilisha utaratibu vp kuhusu wengine 18 wazawa ili kufikisha idadi ya wachezaji 30.
Na kwa mujibu wa kanuni za TFF kilatimu ya LigiKuu inatakiwa kuwa na timu za vijana za U-17 na U-20 na hawa wanaruhusiwa kucheza pia ikitokea wamepewa nafasi.Nakumbuka miaka ya nyuma Simba iliwahi kuwatokea wachezaji mapro wengi waligoma kucheza mechi na Kagera kilichofanyika kocha wao akapanga karibia nusu ya timu kutoka U-20
 
Back
Top Bottom