TFF mlitumia kigezo gani hadi mkalazimisha Maiti icheze na Muoshaji tarehe 8 August, 2024?

Mimi mwenyewe kuna watu kadhaa nimewauliza kuhusu hili jambo na bado sijapewa jibu la kueleweka.

Ngao ya jamii si ilikuwa inachezwa kati ya Bingwa wa TPL/NBCL (Yanga) vs Bingwa wa kombe la FA (Azam)?

Na bado hata ukisema linachezwa kati ya Bingwa wa NBCL vs Mshindi wa pili wa NBCL bado Yanga na Simba hawawezi kukutana. Shwaini zao TFF!
 
Utaratibu umebadilishwa tokea mwaka jana, ngao ya jamii ni mechi inayohusisha timu 4 za top 4.
Na fixture yake huwa ni aliyeshika nafasi ya kwanza vs wa tatu na anayeshika nafasi ya pili vs nafasi ya nne.

Msimu uliopita Yanga alicheza dhidi ya Azam ambaye alikuwa nafasi ya tatu
Simba alikuwa wa pili akacheza na Singida ambaye alikuwa nafasi ya nne.

Utaratibu ni ule ule mzee
Bingwa Yanga vs wa tatu Simba
Wa pili Azam vs wa nne Coastal
 
Mimi mwenyewe kuna watu kadhaa nimewauliza kuhusu hili jambo na bado sijapewa jibu la kueleweka.

Ngao ya jamii si ilikuwa inachezwa kati ya Bingwa wa TPL/NBCL (Yanga) vs Bingwa wa kombe la FA (Azam)?

Na bado hata ukisema linachezwa kati ya Bingwa wa NBCL vs Mshindi wa pili wa NBCL bado Yanga na Simba hawawezi kukutana. Shwaini zao TFF!
Mshaanza uoga sasa,si nyie Mwaka jana huu mfumo ulivyokuwa introduced mlifurahia sana na ngao mkabeba?
 
We jamaa unamaneno machafu sijui ni mrangi, msambaa,muhehe,mnyiramba n.k hauko mbali sana na makabila yanayofanana na hayo ....alafu we sio mshabiki wa Simba sc..washabiki wa Simba sc hawanatabia kama zako..Nyie ndio wale mnaweza kuwaponda hata wanzazi wenu au mke kwa watu wengine... we ni mshamba tu enyewe na mtu ovyo kabisa
 
Aisee hili povu linaakisi kiwango cha uchungu na maumivu makali alichonacho mtani huyu. Simba inawaumiza sana mashabiki wake kupewa kipondo na Yanga ndani nje jumla 7-2. Jamaa anahitaji furaha japo ya kuipiga Yanga 2-2! Pole sana.

Yanga imecheza Mpira mkubwa sana South, mpira wa sifa na hii ni hatari sana kwa vitimu vidogo vya ligi yetu kama JKT, Dodoma Jiji, Simba nk, itakuwa ni uonevu na kupigwa makonzi tu vikikutana na vijana toka jangwani!

Duke Abuya , Dube,Ki na Aucho wakiwemo kikosini tarehe 8 vilio vitatawala upya kwa makolo, niko paleee maskani kwetu Buza Mpalanger!!
 
Aisee hili povu linaakisi kiwango cha uchungu na maumivu makali alichonacho mtani huyu. Simba inawaumiza sana mashabiki wake kupewa kipondo na Yanga ndani nje jumla 7-2. Jamaa anahitaji furaha japo ya kuipiga Yanga 2-2! Pole sana.

Yanga imecheza Mpira mkubwa sana South, mpira wa sifa na hii ni hatari sana kwa vitimu vidogo vya ligi yetu kama JKT, Dodoma Jiji, Simba nk, itakuwa ni uonevu na kupigwa makonzi tu vikikutana na vijana toka jangwani!
Nashukuru kwa kunisaidia kunijibia huyo damn Fool.

Cc: Tajiri Tanzanite
 
Back
Top Bottom