TFF mlitumia kigezo gani hadi mkalazimisha Maiti icheze na Muoshaji tarehe 8 August, 2024?

TFF mlitumia kigezo gani hadi mkalazimisha Maiti icheze na Muoshaji tarehe 8 August, 2024?

Usivunjike moyo mnyama nae kaumbwa na MUNGU.
Sala zake zinaweza kusikilizwa.
Kilichobaki mtafuteni Magoma na Dalali wasome kurujuani washitakie uonevu wa Yanga kwa MUNGU..😆
 
Nashukuru kwa kunisaidia kunijibia huyo damn Fool.

Cc: Tajiri Tanzanite
Na siku nikikuona unaisemea Simba sc kama mshabaki wa Simba sc..nitaku categorized kwenye wanaime ambao sio riziki..kwasababu wale wamekana mpaka maumbile yao hawaeleweki ...Sometimes we can use small behaviour to interpret your real character.
 
Aisee hili povu linaakisi kiwango cha uchungu na maumivu makali alichonacho mtani huyu. Simba inawaumiza sana mashabiki wake kupewa kipondo na Yanga ndani nje jumla 7-2. Jamaa anahitaji furaha japo ya kuipiga Yanga 2-2! Pole sana.

Yanga imecheza Mpira mkubwa sana South, mpira wa sifa na hii ni hatari sana kwa vitimu vidogo vya ligi yetu kama JKT, Dodoma Jiji, Simba nk, itakuwa ni uonevu na kupigwa makonzi tu vikikutana na vijana toka jangwani!

Duke Abuya , Dube,Ki na Aucho wakiwemo kikosini tarehe 8 vilio vitatawala kwa makolo, niko paleee maskani Buza Mpalanger!!
Woii.m ntakuwa kwa kiboko ya wachawi naomb aaaa kupunguzwa magoli tusijeharibiana siku msimbazi
 
Mkuu vipi mbona umejaa wasiwasi!!!!
HIZI NDIO GOLI ZINAFUNGWA NA YANGA SIKUHIO ACHILIA USHINDIA
4/5/6
CHAGUENI WENYEWE MTAKAEMTUMIKIA M NA YANGA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA

NIKOPALE STUDIO KWA LULENGE
 
Back
Top Bottom