TFF mlitumia kigezo gani hadi mkalazimisha Maiti icheze na Muoshaji tarehe 8 August, 2024?

Usivunjike moyo mnyama nae kaumbwa na MUNGU.
Sala zake zinaweza kusikilizwa.
Kilichobaki mtafuteni Magoma na Dalali wasome kurujuani washitakie uonevu wa Yanga kwa MUNGU..πŸ˜†
 
Nashukuru kwa kunisaidia kunijibia huyo damn Fool.

Cc: Tajiri Tanzanite
Na siku nikikuona unaisemea Simba sc kama mshabaki wa Simba sc..nitaku categorized kwenye wanaime ambao sio riziki..kwasababu wale wamekana mpaka maumbile yao hawaeleweki ...Sometimes we can use small behaviour to interpret your real character.
 
TFF mna Roho Mbaya sana na wala hamna Huruma. au mna Agenda yenu ya kutaka Watu wavurugane zaidi mapema yote hii?
Mowaaa
Maiti +maiti unapata=
Tff wenyewe maiti watarajiwa
 
Woii.m ntakuwa kwa kiboko ya wachawi naomb aaaa kupunguzwa magoli tusijeharibiana siku msimbazi
 
Mkuu vipi mbona umejaa wasiwasi!!!!
HIZI NDIO GOLI ZINAFUNGWA NA YANGA SIKUHIO ACHILIA USHINDIA
4/5/6
CHAGUENI WENYEWE MTAKAEMTUMIKIA M NA YANGA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA

NIKOPALE STUDIO KWA LULENGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…