Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Alipo Andika kwa Mara ya kwanza msemaji wa Yanga Dismas Teni ,huu upuuzi wa kuwekewa sumu,nilitegemea TFF mngemtaka Athibitishe mkakaa kimya, sasa hili limeshakuwa tatizo kila timu itakayo fungwa nyumbani itasingizia sumu, usije shangaa hata timu ya taifa ya Uganda ikatokea hivyo.
Kocha na msemaji wa yanga wanahusika kwa %kubwa kwa uzushi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
TFF wanajua ni kweli simba wanapuliza sumu ndio maana wako kimya si unajua rais wa TFF ni mshabiki mkubwa wa simba
Kumbe tuhuma za hewa chafu ziko muda mrefu? Sasa kwa nini zisichunguzwe badala ya wewe kuja na hitimisho la uzushi? Wewe una uhakika gani kuwa ni uzushi? Au wewe ulihusika kuweka?Alipo Andika kwa Mara ya kwanza msemaji wa Yanga Dismas Teni ,huu upuuzi wa kuwekewa sumu,nilitegemea TFF mngemtaka Athibitishe mkakaa kimya, sasa hili limeshakuwa tatizo kila timu itakayo fungwa nyumbani itasingizia sumu, usije shangaa hata timu ya taifa ya Uganda ikatokea hivyo.
Kocha na msemaji wa yanga wanahusika kwa %kubwa kwa uzushi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
AS VITA WAWEWESEKA...TFF wanajua ni kweli simba wanapuliza sumu ndio maana wako kimya si unajua rais wa TFF ni mshabiki mkubwa wa simba
AS VITA WAWEWESEKA...Kumbe tuhuma za hewa chafu ziko muda mrefu? Sasa kwa nini zisichunguzwe badala ya wewe kuja na hitimisho la uzushi? Wewe una uhakika gani kuwa ni uzushi? Au wewe ulihusika kuweka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe ndio popoma haswa.Nkana alifungwa goli 2 kipindi cha kwanza.Sourra alifungwa goli 1 kipindi cha kwanza na mawili ndani ya dakika 70.Ahly alifungwa dakika ya 78.Mazembe atafungwa kama ulivyotabiri.Nkana,soura,ahly na mazembe wote hawa wamefungwa goli kipindi cha pili mwishoni mwishoni,ebu jiongezeni hapo mikia
Wewe ni jahili tu usiostahili muda wa kujibiwa.Tff imejaa mabumbumbu wa uko sìmbà wanajua ukweli yaliyotòkea ndo mana wamenyamaza
Wanaweweseka! Ni kweli hawana jipya wajipange mashindano yajayo..AS VITA WAWEWESEKA...
~Kwenye pre match wakadai AC zisiwashwe kwenye chumba chao, hazikuwashwa! Siku ile ya mazoezi wakaomba wakugue dressing room yao, kinyume na taratibu wakaruhusiwa, bado tu wanatafuta sababu! Vita walijifunga wenyewe kwa hofu waliyolishwa hapa Dar! Hiyo panick ikaenda mpaka kwa Wachezaji wao!
Mechi coordinator alikagua chumba SAA 9,wakadeki na akachukua funguo na kufunga wakambiwa waingie waligoma ,wakapewa Uhuru wachague chumba chochote waingie wakakata haya sasa yanatokea wapi wapuuzi!
Hizi taarifa zote zimetokea kwa Constant Omary Rais wa Federation wa Kongo na Kitenge mtendaji wa mazembe mbona Mazembe wenyewe walishutumiwa baada ya kumfunga Club African 8-0 kuwa walitumia sumu na yalikuwa maneno ya washindwaji tu.
Hatuna wasiwasi wowote kuhusu hilo ,walimezeshwa sumu ya maneno na wajinga wakalewa na kupanic hawana jipya
C.E.O wa simba SC Magoli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulieni malipo ni hapa hapa Duniani. Wakati ule Yanga chini ya Manji ikiwa inaenda kuweka kambi nje ya Nchi kwa Pre season mlikuwa mnadai Serikali iichunguze Yanga kwa kuwa inabeba inapeleka/inaleta Madawa ya kulevya Tanzania. Watu wakakaa kimya,je hilo jambo la hatari mlilokuwa mnalizusha ni sahihi au ndio utani wenyewe huo?Kocha wa yanga inaonyesha hakuja kwa mazuri hapa tanzania Bali alikuja kutufitinisha watanzania. Sasahivi utani wa jadi ndo huo unapotea taratibu sasahivi vinaanza kuwa visa juu ya visa. Huu uzushi ukikaliwa kimya na serikari pamoja na mamlaka za kimichezo utakuja leta madhara makubwa sana. Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Hili suala la kupulizia dawa linapewa nguvu sana na wanajangwani lakni mamlaka zimekaa kimyaaa!! Siku ikijatokea sintofahamu simba ikaondolewa kweli kwa fitina kwenye mashindano haya. Nina imani hawatavumilia na hawatalikalia kimya nao watatafuta njia ya kulipiza kisasi, matokeo yake ni madhara juu ya madhara. Tutaacha kuitana watani tutaanza kuitana maadui kwà sababu ya upande mmoja kutofurahia mafanikio ya upande mwingine. Chonde tutaniane kwa mambo ambayo yako ndani ya mipaka yetu tusiforce matukio kwa ajili ya kumfurahisha mgeni na kumhuzunisha jirani yako. Hilo suala la kuzushiana halitaishia kwa simba tu ni lazima litagusa msitakabali was taifa zima.watani ni vizuri tukawa na kipimo cha utani.
Matusi ya nini bob ,tulia upakatweMalipo gani unayajua wewe punga?
Ungekuwa unayajua ungepumuliwa kisogoni?
Anti Wanjiru.
Huyo muache tuu nazani ana handazi ya mtaro anataka usafishwe kinguvu.Matusi ya nini bob ,tulia upakatwe