TFF mmemkalia kimya Msemaji wa Yanga sasa madhara yake ni haya

Hizo tuhuma wengi wanazisema sio wapinzani tu bali hata mashabiki na wapenzi wa simba baadhi yenu ukweli mnaujua, hebu angalia na hii ya edo
 
Attachments

  • Screenshot_2019-03-23-22-24-35.png
    Screenshot_2019-03-23-22-24-35.png
    29.8 KB · Views: 21
Mapunga yamekuwa mengi. Linajulikana wewe. ANTI.
 
Alipo Andika kwa Mara ya kwanza msemaji wa Yanga Dismas Teni ,huu upuuzi wa kuwekewa sumu,nilitegemea TFF mngemtaka Athibitishe mkakaa kimya, sasa hili limeshakuwa tatizo kila timu itakayo fungwa nyumbani itasingizia sumu, usije shangaa hata timu ya taifa ya Uganda ikatokea hivyo.

Kocha na msemaji wa yanga wanahusika kwa %kubwa kwa uzushi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepitia sehemu zote ukahakikisha Dismas alikuwa wa kwanza?
After all, kama hayana ukweli, shida iko wapi? Si muyapuuze tu?
 
Uwezi kuyapuuza kwasababu zahera kayameza ivyo ivyo nae kaeneza propaganda kwa Wacongo wenzie wanatoa shutuma kwenye mitandao ya udaku...

  • Thanks
Reactions: Tui
Hizo tuhuma zote ni kutokana na mafanikio tu ya Simba SC , nikawaida ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi. Vyama vya soka vifanyie uchunguzi ili hayo madai yasiwepo tena miaka inayokuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yasipuuzwe.. ila usiwe wivu wa mafanikio ya simba
 
Alipo Andika kwa Mara ya kwanza msemaji wa Yanga Dismas Teni ,huu upuuzi wa kuwekewa sumu,nilitegemea TFF mngemtaka Athibitishe mkakaa kimya, sasa hili limeshakuwa tatizo kila timu itakayo fungwa nyumbani itasingizia sumu, usije shangaa hata timu ya taifa ya Uganda ikatokea hivyo.

Kocha na msemaji wa yanga wanahusika kwa %kubwa kwa uzushi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
KIMA /NYANI??FAFANUAAAA
 
Back
Top Bottom