kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 161
- 280
Bilashaka serikali ndiyo waliowatuma kuahirisha mchezo, CCM wana changamoto kwenye kukabiliana na changamoto , hawana uwezo wa kuzikabli changamoto kwa wakati, (not able to overcome uncertainty in society at desired time)Busara gani? siasa gani? serikali ya nini?
TFF mmeshindwa kutafsiri kanuni za mpira mnaingiza serikali? mnaona na mnajua kabisa mkifuata sheria na kanuni za mpira moja kati hizo timu mbili (Simba/Yanga) itashuka daraja?
Maana yake mmedharau kanuni za kimpira mkaingiza serikali? sasa kama mmeshindwa kusimamia kanuni mnafanya nini hapo kwenye hizo nafasi?
Soma Pia: Waziri wa Sanaa na Michezo Palamagamba Kabudi kukutana na viongozi wa Simba, Yanga, TFF na Bodi ya Ligi Alhamisi
shame on you.
Kipindi mnahairisha mechi mliihusisha hiyo serikali?
shame on you 100 times.
Wa kupimwa wewee...!!!Utopolo wanahaha
Kujisemea trump...miafrika mijinga tuu ni ya kutawaliwa tuuuBusara gani? siasa gani? serikali ya nini?
TFF mmeshindwa kutafsiri kanuni za mpira mnaingiza serikali? mnaona na mnajua kabisa mkifuata sheria na kanuni za mpira moja kati hizo timu mbili (Simba/Yanga) itashuka daraja?
Maana yake mmedharau kanuni za kimpira mkaingiza serikali? sasa kama mmeshindwa kusimamia kanuni mnafanya nini hapo kwenye hizo nafasi?
Soma Pia: Waziri wa Sanaa na Michezo Palamagamba Kabudi kukutana na viongozi wa Simba, Yanga, TFF na Bodi ya Ligi Alhamisi
shame on you.
Kipindi mnahairisha mechi mliihusisha hiyo serikali?
shame on you 100 times.
Mmekua sugu sana aisee..Ni ukweli yanga anaogopa kukutana na mpanzu
Yanga aligomea kwasababu bodi ya ligi hawakufuata kanuni za kubadilisha muda wa mchezo, sheria inasema kuwaCha kushangaza yanga alipogomea mechi ya simba na taratibu zote zikafuatwa simba hakugoma mechi ya marudiano na hakuhangaika hivi kudai point 3 na hakukuwa na makelele hivi Yanga anadeka sana
Halafu kuna jitu linatoka na kusema Trump ni mbaguziKujisemea trump...miafrika mijinga tuu ni ya kutawaliwa tuuu
Yanga waliokutana na kina Themba Zwane na Shalulile waogope kukutana na Mpanzu?Ni ukweli yanga anaogopa kukutana na mpanzu
Sasa kama hapo sii vitu rahisi tuu unasoma kanuni inasemaje maamuzi yanafanywa. Lakini sie tunaleta somjo oh sijui busara na hekima zitumike....hapo mnachotumia ni hisia na sio akili kufikiri. Miafrika kwanza mie ningekuwa karibu na Sor God ningemshauri asikubali waingie mbinguni watamuharibia makazi yake takatifu.Halafu kuna jitu linatoka na kusema Trump ni mbaguzi
Afrika tuna unafiki mwingi
Mbinguni ni wapi huko mkuu?Sasa kama hapo sii vitu rahisi tuu unasoma kanuni inasemaje maamuzi yanafanywa. Lakini sie tunaleta somjo oh sijui busara na hekima zitumike....hapo mnachotumia ni hisia na sio akili kufikiri. Miafrika kwanza mie ningekuwa karibu na Sor God ningemshauri asikubali waingie mbinguni watamuharibia makazi yake takatifu.
Kule ambapo mie mzabzab sitafikaMbinguni ni wapi huko mkuu?
Kwahiyoo kanuni zinasema mechi ikichelewa kuahirishwa basi timu ina haki ya kugomea mchezoYanga aligomea kwasababu bodi ya ligi hawakufuata kanuni za kubadilisha muda wa mchezo, sheria inasema kuwa
timu zinatakiwa zijulishwe masaa 24 kabla ila wao bodi ya ligi imeamka zao siku ya mechi bado masaa kadhaa mechi ichezwe wao wakabadilisha muda. Yanga anasimama kwenye kanuni wakati Simba wao wanadekezana na TFF na bodi ya ligi
Hata hao waliwaogopa ndio maana walienda na mbinu ya kupaki basi mwanzo mwisho wote waligeuka walinzi kazi ya kufunga wakawaachia mashabiki, mwisho wa siku mkaishia kulilia kagoli ka kuvizia ambako hata ninyi wenyewe hamkuwa na uhakika kama kalikuwa halali au la, mkikutana na timu nyingine kama Simba na Azam huwa mnakamia tu na si kwamba ndio uwezo wenu halisi vinginevyo huo uwezo mngeuonesha na kimataifa huko au na sisi tumsifu Luc EymaelYanga waliokutana na kina Themba Zwane na Shalulile waogope kukutana na Mpanzu?
Nikimtag Aden Rage nitakua nakosea?
Mechi iliahirishwa au ilisogezwa muda mbele?Kwahiyoo kanuni zinasema mechi ikichelewa kuahirishwa basi timu ina haki ya kugomea mchezo
Kwani kuna watu ambao watapafikia huko?Kule ambapo mie mzabzab sitafika