TFF mmeshindwa kutafsiri kanuni za mpira mnaingiza serikali?

Kiuhalisia Bodi ya ligi kuwa madarakani Hadi Leo ni dharau Kwa wapenda soka nchini. Ujinga uliofanyika march 7 hauwezi kurushiwa serikali ambayo haihusiki kabisa. Watu wafanye ujinga Kwa kutegemea serikali itaharmonise sababu ya uchaguzi?
 
Tukijichanganya FIFA wanatufungia!!👿 ama kweli CCM ni janga la kudumu!!
 
Yanga haikugomea mechi bali walienda uwanjani kwa kufuata ratiba ile ile ya mchezo.
Hebu acha kujitoa ufahamu kitendo cha kugomea ratiba mpya iliyopangwa ndio kugomea mechi kwenyewe, hata kama bodi ya ligi ilivunja kanuni nanyi hamkupaswa kuvunja kanuni kama ambavyo mnaliongelea hili sakata la simba, mlitakiwa kupunguziwa points au kushushwa daraja lakini hamkufanyiwa hivyo na simba hawakususia mchezo wala hawakulilia points za bure
 
Yanga wangekubali kwenda kucheza hiyo mechi kwa muda mpya uliobadilishwa ghafla je wangekuwa wanafuata kanuni au ni busara?
 
Sasa swali hilo hilo waulize na mashabiki wenzio wa yanga, kwamba simba wangekubali kucheza ile mechi baada ya kunyimwa haki yao ya msingi, wangekuwa wanafuata kanuni au busara ukizingatia hakuna aliyewajibishwa kwa hilo hadi sasa
 
Back
Top Bottom