TFF mmewasikia Kanisa Katoliki?

Wa kulaumiwa ni jiwe na hii Serikali haramu ambayo haitoi muongozo wowote wa kupambana na hii corona. Angalia nchi za wenzetu viongozi wao walivyo mstari wa mbele wa mapambano dhidi ya corona hapa kwetu ni mwendo wa kuisambaza tu kwa kasi kwa ziara za kipumbavu zisizo na tija kwa Watanzania,
Leo nimepata wasaa wa kuangalia mechi ya Azam na Kagera Sugar.Waliovaa barakoa ni kama hakuna kabisa...
 
Mbona watu bado wanaenda kanisani na Jumuiya, au safari zao ni muhimu zaidi ya kondoo wao, kanisa lifanye yanayowahusu, wasiingilie kazi za wengine.
 
Najiuliza mbona wazungu wanavaa sana face mask na ugonjwa kwao haupungui, kuna tatizo sehemu
 
Kanisa Katoliki wameshauri tu au wamewalazimisha TFF?
 
Mkuu, tunapaswa kufuata maelekezo ya serikali kupitia wizara ya afya na sio kila mtu akijisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…