TFF Mnajitekenya, Sote Tunajua Hamuwezi Kumfanya Chochote Rais Wa Yanga Eng. Hersi Said.

TFF Mnajitekenya, Sote Tunajua Hamuwezi Kumfanya Chochote Rais Wa Yanga Eng. Hersi Said.

Lakini adhabu ilisema Manara asijihusishe na “any sports related activity” sasa sidhani kama kuna pahala pamepinda… Help me understand.
Any sports related activities hata kupiga danadana nayo its related. Una mamlaka ya kumzuia asipige danadana.unaitambua danadana katika kalenda yako?
 
Tunajipa ubusy kwa mambo yasiyo na maana hiyo ndiyo tabia ya mswahili.
 
Ni wajinga na wapuuzi wanaweza kuamini kuwa mikwara ta barua yenu inaweza kuzaa matunda.

Kabla Haji Manara hajaalikwa kama MC wa kisherehesha Wiki Ya Wananchi walikaa mezani na waasheria wao kupitia sheria zote zinazo mzuia Manara kushiriki.

Na wanafahamu vyema mapungufu ya sheria zenu za kiduwanzi ndio maana wamemualika kama mshehereshaji.

Kuna tofauti kubwa kati ya kuvunja sheria na kupindisha sheria.
View attachment 2316772View attachment 2316771
Inawasaidia nini kama timu? Jana mmedhalilishwa na katimu kadogo la Uganda
 
Back
Top Bottom