TFF mnakwama wapi??

TFF mnakwama wapi??

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
4,806
Reaction score
5,347
Hivi TFF mnajielewa kweli?? Kwenye mechi inayoendelea Vs Burundi kwanini Jezi ya Mbwana samatta na Jonas Mkude zinatofautiana na wengine??

Jezi ya samatta na Mkude hazina maandishi TAnzania mgongoni kama wengine Kwanini??

Mnaliona dogo Hilo??

Huu ni upuuzi.
 
Tahadhari: usiombe picha sina.
 
Ingefanya Yanga ingekuwa big issue, nakumbuka jezi zilitofautiana rangi Kwenye neno sportpesa, ikawa issue kubwa kwa wachambuzi.
Yanga ni vichaa aisee, kimbia kama upo mitaa Hiyo. Timu gani inaongozwa na mganga mwinyi zahera??

TFF Kwa chura Wapo sahihi.
 
wapumbavu hao, ngoja wapigwe na burundi watulie
 
Hivi TFF mnajielewa kweli?? Kwenye mechi inayoendelea Vs Burundi kwanini Jezi ya Mbwana samatta na Jonas Mkude zinatofautiana na wengine??

Jezi ya samatta na Mkude hazina maandishi TAnzania mgongoni kama wengine Kwanini??

Mnaliona dogo Hilo??

Huu ni upuuzi.
Karia is a biggest trouble maker!
 
Mwinyi anawatesa sana
Mwinyi amewageuza Wana chura kuwa misukule/mandondocha, Nina uhakika Kwa hivi visenti anavyoichangia club hii maskini basi hata akifungwa mechi zote za ligi hakuna atakayenyanyua mdomo kuuliza!

Hizi hela anazotoa ni hongo shtukeni nyie churaaa
 
We utakuwa mgonjwa wa akili,kwani analazimishwa kutoa?
 
Yaani Mikia hawalali wanavyoteseka na Mwl Zahera, mara wanaishawishi TFF itunge kanuni ya pensi kwa mtu mmoja huku kocha wa Ruvu akiwa amevaa pensi anaachwa! Mikia muonage na aibu! Nyie kocha wenu anavaa shati la mtumba alilonunua Karume mbona hatungiwi kanuni?
Ujinga ujinga tu,na saizi tifuatifua kuanzia mtunza maua hadi Alshabab wote mbumbumbu
 
Back
Top Bottom