OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wakuu,
Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao
Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza
TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA.
Huu ni utapeli wa mchana kweupe.
Tutegemee maumivu zaidi mpaka msimu unaisha
==================
UPDATES
Tumepigwa
www.jamiiforums.com

Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR. Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao...