TFF mnashindwa vipi kumchukulia hatua Jerry Muro wa Yanga?

TFF ya malinz ni yanga tupu mule sasa ad kamati ya uongozi wote yanga so ndio maana jerry muro anafanya anavyotaka
Ninavoelewa sasa hawa jamaa wanaifanya TFF iwe chini ya Yanga, mfano mzuri ni huu unaoitwa uchaguzi wa klabu hiyo!
 
Huu ni wakati wakujipanga tuondokane na hili jina la wamatopen
Hilo jina sidhani kama lina maana yoyote mbaya bali aliyelianzisha ndo upeo wa kufikiri ni sawa na ziro.
 
Eti jana jeri anauliza masters wanapewa mambumbu?[emoji23]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Baada ya kuona wameshindwa kila kona kutowafanya wakazi wa Dar kuona hai mechi hiyo kupitia AzamTv eti wametangaza hakuna kiingilio! Huo uwanja si wa klabu ya Yanga bali ni wa serikali na nitasangaa mno kama waziri hatatolea tamko kuhusiana na upuuzi huu. Gharama za mechi nani alipe?
 
Ila yanga wajeuri sana

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Nadhan hapo neno nyumbu linaweza kuwa sahihi kama mtu anaongea maneno ya namna hiyo kwenye media
Kibaya zaidi wanachama na wapenzi wa klabu hiyo wanamuona jamaa ana akili sana!
 
kwani hivi caf ilianzishwa lini?
"CAF represents the national football associations of Africa, runs continental, national, and club competitions, and controls the prize money, regulations and media rights to those competitions.

CAF is the biggest of six continental confederations of FIFA. Although it is just three years younger than the UEFA, CAF still has a long way to go in order to improve the quality of the national and local competitions. CAF has been given 5 slots out of the 32 available since the 1998 FIFA World Cup in France, this increased to 6 in 2010 FIFA World Cup in South Africa, to include the hosts. The number of places returned to 5 for the 2014 FIFA World Cup.

CAF was founded on 8 February 1957 in Khartoum, Sudan by the Egyptian, Ethiopian, South African and Sudanese FAs, following former discussions between the Egyptian, Somali, South African and Sudanese FAs earlier on 7 June 1956 at the Avenida Hotel in Lisbon, Portugal. Its first headquarters was situated in Khartoum, Sudan for some months until a fire outbreak in the offices of the Sudanese Football Association when the organization moved near Cairo. Youssef Mohammad was the first General Secretary and Abdel Aziz Abdallah Salem the president. The administrative center since 2002 is located in 6th of October City, near Cairo. It was initially made up of 4 national associations. Currently there are 56 associations, 54 full members beside Zanzibar[citation needed] and Réunion Island as associates". Mkuu nadhani mpaka hapo utakuwa umeelewa.https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_men's_national_association_football_teams#CAF_.28Africa.29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…