Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti jana jeri anauliza masters wanapewa mambumbu?[emoji23]Hilo jina sidhani kama lina maana yoyote mbaya bali aliyelianzisha ndo upeo wa kufikiri ni sawa na ziro.
Baada ya kuona wameshindwa kila kona kutowafanya wakazi wa Dar kuona hai mechi hiyo kupitia AzamTv eti wametangaza hakuna kiingilio! Huo uwanja si wa klabu ya Yanga bali ni wa serikali na nitasangaa mno kama waziri hatatolea tamko kuhusiana na upuuzi huu. Gharama za mechi nani alipe?Eti jana jeri anauliza masters wanapewa mambumbu?[emoji23]
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Ila yanga wajeuri sanaBaada ya kuona wameshindwa kila kona kutowafanya wakazi wa Dar kuona hai mechi hiyo kupitia AzamTv eti wametangaza hakuna kiingilio! Huo uwanja si wa klabu ya Yanga bali ni wa serikali na nitasangaa mno kama waziri hatatolea tamko kuhusiana na upuuzi huu. Gharama za mechi nani alipe?
Nadhan hapo neno nyumbu linaweza kuwa sahihi kama mtu anaongea maneno ya namna hiyo kwenye mediaYanga wanachama wanadanganywa tu
Eti Yanga ni kubwa kuliko Caf huo ndio upuuzi
Ha haWanaipata toka wapi mkuu? Lazima pana chanjo hapa.
"CAF represents the national football associations of Africa, runs continental, national, and club competitions, and controls the prize money, regulations and media rights to those competitions.kwani hivi caf ilianzishwa lini?