Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa mfano mtu kama huyu mnawezaje kumpa timu ya Taifa , Amefanya nini , lini na wapi ? kuwa na viongozi wa soka wa namna hii ni hasara kubwa sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,halafu wataajiri mwingine ? Wana hela za mchezo mchezo hawa ,Pale wapigaji tu may be ni kocha wa mdah
Kama tff bado hawaja jipanga ni bora timu wapewe wazawa kuliko ,kufanya matumiz mabaya ya fedha. Kama Nchi haina vituo vya kulea vijana ni bora kutafuta wadhamin waanzishe mashindano mengi ya vijana ili vijana wacheze mpira mwaka mzima katika mashindano mbalimbali itasaidia kupanua wigo wa kuona vipaji vilivyo mikoa ya pembezon. Kumleta kocha wa kigen wakati wachezaji hawana misingi ya soka ni matumiz mabaya ya fedha.View attachment 1150762
Kwa mfano mtu kama huyu mnawezaje kumpa timu ya Taifa , Amefanya nini , lini na wapi ?
Mzawa gani wa kumpa timu?Kama tff bado hawaja jipanga ni bora timu wapewe wazawa kuliko ,kufanya matumiz mabaya ya fedha. Kama Nchi haina vituo vya kulea vijana ni bora kutafuta wadhamin waanzishe mashindano mengi ya vijana ili vijana wacheze mpira mwaka mzima katika mashindano mbalimbali itasaidia kupanua wigo wa kuona vipaji vilivyo mikoa ya pembezon. Kumleta kocha wa kigen wakati wachezaji hawana misingi ya soka ni matumiz mabaya ya fedha.
Wapo wakina Kibaden.Mzawa gani wa kumpa timu?
Jamhuri KiweluMzawa gani wa kumpa timu?
Wazawa wapo tatizo ni kwamba wakimpa mzawa hawamlipi kama anavyolipwa kocha wakigeni...yaani sie wa ghird world kwa kukandamizana wenyewe kwa wenye tunaongozaMzawa gani wa kumpa timu?
Kapigiwa debe na mtu.Tz kama uingereza tu maana uk iliwahi kumuajiri kocha kisa tu kaiokoa klabu fulani kushuka daraja.View attachment 1150762
Kwa mfano mtu kama huyu mnawezaje kumpa timu ya Taifa , Amefanya nini , lini na wapi ? kuwa na viongozi wa soka wa namna hii ni hasara kubwa sana !