TFF mnatumia vigezo gani kuwapata makocha wa Timu ya Taifa ?

TFF mnatumia vigezo gani kuwapata makocha wa Timu ya Taifa ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kocha mpya wa Taifa Stars  Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Simba na klabu ya Azam F.jpg

Kwa mfano mtu kama huyu mnawezaje kumpa timu ya Taifa , Amefanya nini , lini na wapi ? kuwa na viongozi wa soka wa namna hii ni hasara kubwa sana !
 
Kwanza najiuliza, wamempa malengo gani.... ? Afanye zaidi ya ''aliyoyafanya'' Amunike ?

Asiyejua aendako, njia yoyote humfikisha.
 
View attachment 1150762

Kwa mfano mtu kama huyu mnawezaje kumpa timu ya Taifa , Amefanya nini , lini na wapi ?
Kama tff bado hawaja jipanga ni bora timu wapewe wazawa kuliko ,kufanya matumiz mabaya ya fedha. Kama Nchi haina vituo vya kulea vijana ni bora kutafuta wadhamin waanzishe mashindano mengi ya vijana ili vijana wacheze mpira mwaka mzima katika mashindano mbalimbali itasaidia kupanua wigo wa kuona vipaji vilivyo mikoa ya pembezon. Kumleta kocha wa kigen wakati wachezaji hawana misingi ya soka ni matumiz mabaya ya fedha.
 
Mzawa gani wa kumpa timu?
 
Kwanini hii Timu hawajampa Nadir Haroub 'Canavaro' au Haruna Moshi 'Boban' au Athumani Iddi 'Chuji'?
 
Sasa wamefanya kweli. Wamempa Mrundi wa Azam. Hana experience yoyote ya international games.
Rais wa TFF ni Msomali. Sasa kocha no Mrundi. Si kwa sifa zake kimpira, sifa kubwa ni Mrundi.
 
Back
Top Bottom