Drama hii nchi hazitaisha, wanatoa onyo wakati sio kesi inayostahili adhabu ya onyo. Shamefully creatures.Simba umeshindwa kesi ya Awesu
Hairuhusiwi team kuongea na mchezaji kabla miezi 6 kwenye mkataba wake lakini Simba walifanya hivo
Simba walimrubuni Awesu na kumtorosha Awesu
Simba walimpeleka Awesu Egypt pre season
Simba walimtambulisha Awesu Simba day
Awesu alivaa jezi ya Simba na kumchezesha mechi zao
Simba ndo walimpa Awesu million 50 eti avunje mkataba usio vunjika
Sasa kwanini TFF wanasema hawana ushahidi kama Simba ndo walimshawishi Awesu mwenye mkataba na KMC
Simba wafungiwe kusajili kama kanuni inavosema
Mbaya zaidi Tff Wana copy za mikataba ya wachezaji na Bench la ufundi ya wachezaji wote wanao shiriki NBC premier league.Drama hii nchi hazitaisha, wanatoa onyo wakati sio kesi inayostahili adhabu ya onyo. Shamefully creatures.
Lini na mechi ipi simba wamemchezesha awesu?Mbaya zaidi Tff Wana copy za mikataba ya wachezaji na Bench la ufundi ya wachezaji wote wanao shiriki NBC premier league.
Walikua wanajua Simba wamemchezesha mchezaji mwenye mkataba na KMC.
Ndio naishi Tanzania nauliza kuna mechi ipi inayotambulika na tff,cecafa,caf,fifa awesu kacheza?Unaishi Tanzania au
Hayo ni mabonanza mchezaji wa team yoyote anaruhusiwa kucheza ata wewe ukipewa nafasi unacheza hautakuta record ya simba kucheza friend mechi tff shida wajinga wanajiona wana akili na ndio watanzania wengi tulivyo.Wewe kweli ndo Rage alivowaita mbumbumbu alikuwa sahihi.
Kwaiyo friendly matches Simba walitumia wachezaji wa Namungo
Umemaliza. Thread closedHayo ni mabonanza mchezaji wa team yoyote anaruhusiwa kucheza ata wewe ukipewa nafasi unacheza hautakuta record ya simba kucheza friend mechi tff shida wajinga wanajiona wana akili na ndio watanzania wengi tulivyo.
Hivi kweli wewe uko timamuHayo ni mabonanza mchezaji wa team yoyote anaruhusiwa kucheza ata wewe ukipewa nafasi unacheza hautakuta record ya simba kucheza friend mechi tff shida wajinga wanajiona wana akili na ndio watanzania wengi tulivyo.
NakaziaUnamaana TFF hii hii ya Karia?