MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Acha udwaziSimba umeshindwa kesi ya Awesu
Hairuhusiwi team kuongea na mchezaji kabla miezi 6 kwenye mkataba wake lakini Simba walifanya hivo
Simba walimrubuni Awesu na kumtorosha Awesu
Simba walimpeleka Awesu Egypt pre season
Simba walimtambulisha Awesu Simba day
Awesu alivaa jezi ya Simba na kumchezesha mechi zao
Simba ndo walimpa Awesu million 50 eti avunje mkataba usio vunjika
Sasa kwanini TFF wanasema hawana ushahidi kama Simba ndo walimshawishi Awesu mwenye mkataba na KMC
Simba wafungiwe kusajili kama kanuni inavosema