TFF mnazionea timu za Daraja la kwanza kucheza playoff na timu za Ligi kuu ili kupanda daraja au kushuka

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Ligi kuu imemalizika Leo kwa timu zote za Ligi kuu kucheza mchezo wa mwisho na timu mbili kushuka daraja na timu ya tatu kupambanishwa na timu za Daraja la kwanza ili kupata timu itakayoshuka na timu itakayopangwa

Utaratibu huo kiukweli naushangaa kwasababu unapambanisha timu za madaraja mawili tofauti sijui hapo TFF wanapima Nini hata sijawaelewa.

Tunaonga kule Uingereza timu tatu zinashuka Daraja na kupanda timu tatu na hizo timu zinazopanda mbili zinapanda moja kwa moja ila moja ndiyo wanapambanishwa timu kadhaa kwa kucheza playoff na kupata mshindi mmoja ambaye anaungana na zile timu mbili na kupanda ligi kuu.

Sasa hapa Tanzania timu Kama Kagera Sugar wakacheze na Geita FC kupata mshindi wa kupanda daraja naona kabisa happy ni kumuonea kwa wazi kabisa Geita FC ukizingatia Kagera Sugar wanauzoefu mkubwa wa ligi kuu.
 
Kagera kashuka Play off ni Stand Utd vs Geita na Mwadui vs Pamba
 
Ikitokea wakacheza Mbao vs Geita pia itakuwa poa! Nakumbuka Mbao alipanda daraja baada ya timu kama Geita kutuhumiwa kupanga matokeo!
 
Whatever...lakini je ni sawa kwa timu za Ligi kuu kucheza na daraja la kwanza ili kupata timu ya kupanda ligi kuu.
 
Sioni tatizo, kikubwa mchezo wa mpira wa miguu unahitaji maandalizi tu! Katika misimu 2 mfululizo mabingwa wa nchi ' simba' wanafungwa na timu za daraja la kwanza katika mashindano ya FA (Azam federation cup)!
 
Whatever...lakini je ni sawa kwa timu za Ligi kuu kucheza na daraja la kwanza ili kupata timu ya kupanda ligi kuu.
Upo sahihi Timu ikishuka ishuke sio tena ikacheze na Timu za chini kupanda yaani ni kama wanataka hiyo Timu isishuke wakati ikipanda kwa njia hiyo itaendelea kuwa mbovu mimi TFF nishawazoea siku wakifanya jambo zuri ndio ntashangaa Account yao inasoma USD za kutosha ila marefa waliochezesha ligi kuu wanalia njaa...
 
Ligi kuu imemalizika Leo kwa timu zote za Ligi kuu kucheza mchezo wa mwisho na timu mbili kushuka daraja na timu ya tatu kupambanishwa na timu za Daraja la kwanza ili kupata timu itakayoshuka na timu itakayopangwa

Utaratibu huo kiukweli naushangaa kwasababu unapambanisha timu za madaraja mawili tofauti sijui hapo TFF wanapima Nini hata sijawaelewa.

Tunaonga kule Uingereza timu tatu zinashuka Daraja na kupanda timu tatu na hizo timu zinazopanda mbili zinapanda moja kwa moja ila moja ndiyo wanapambanishwa timu kadhaa kwa kucheza playoff na kupata mshindi mmoja ambaye anaungana na zile timu mbili na kupanda ligi kuu.

Sasa hapa Tanzania timu Kama Kagera Sugar wakacheze na Geita FC kupata mshindi wa kupanda daraja naona kabisa happy ni kumuonea kwa wazi kabisa Geita FC ukizingatia Kagera Sugar wanauzoefu mkubwa wa ligi kuu.
Mbona ni kawaida, baadhi ya nchi zinatumia mtindo huu. German, Scotland nk. Tatizo kwa hapa ni kwamba timu zinazotokea kule daraja la kwanza zana hali mbaya sana.

Hamna namna kupanga ni kuchagua.
 
Ligi kuu ya South Africa huu mfumo unatumika kwa timu mbili za ligi daraja la kwanza kucheza playoff na timu moja ya ligi kuu, na kipindi hiki ligi hiyo inaendelea timu moja wapo ya daraja la kwanza ni Royal Eagles anayoichezea Uhuru Selemani.
Nadhani tumeiga kule South Africa
 
Mfumo huu wa playoff unaweza kupima uimara wa timu za daraja la kwanza zinazotaka kupanda sbb kama timu iliyo chini kwenye msimamo wa ligi kuu inacheza na timu zilizo juu kwenye ligi daraja la kwanza na bado timu za daraja la kwanza zilizokuwa juu zikashindwa kupata matokeo, ni wazi bado zitakuwa hazipo tayari kwa ligi kuu
 
Mbona ni kawaida, baadhi ya nchi zinatumia mtindo huu. German, Scotland nk. Tatizo kwa hapa ni kwamba timu zinazotokea kule daraja la kwanza zana hali mbaya sana.

Hamna namna kupanga ni kuchagua.
Na hasa Mimi Hilo ndilo la maana kwamba tunazinyima haki timu za Daraja la kwanza kutoka na uwezo wao
 
Mfumo huu wa playoff unaweza kupima uimara wa timu za daraja la kwanza zinazotaka kupanda sbb kama timu iliyo chini kwenye msimamo wa ligi kuu inacheza na timu zilizo juu kwenye ligi daraja la kwanza na bado timu za daraja la kwanza zilizokuwa juu zikashindwa kupata matokeo, ni wazi bado zitakuwa hazipo tayari kwa ligi kuu
Mfumo hauko fair kabisa
 
Alieleta wazo la play off anatakiwa kupigwa mawe hazarani,play off wacheze daraja la pili tu wenyewe kwa wenyewe
 
Kama timu inataka kupanda ligi kuu na Bado haiwezi kuitoa timu ya ligi kuu kwenye mechi ambayo ni 'decesive'
Basi ibaki huko huko ligi daraja la Kwanza.

Kuna mdau mmoja kakujibu hapo juu.

Una maoni gani juu ya Hilo?
 
Myweather hawezi kupigana na Joshua au Tyson
 
Kila Nchi na mfumo wake Tanzania na ujerumani tunalandana kimfumo
 
Back
Top Bottom