lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Mfumo huu si mpya hapa nchini uliwahi kutumiwa miaka mingi nyuma wakati kuna ligi daraja la kwanza ikihusisha mabingwa wa Kanda ambao hukutana ili kupanda daraja.
Maji Maji iliwahi kunufaika na mfumo huu baada ya kushuka daraja ilikwenda kupambana moja kwa moja na mabingwa wa kanda na kurudi ligi kuu.
Hii Mara nyingi hutumika timu zinapoongezeka kwa kweli kupandisha timu 4 toka ligi daraja la 1 kwenda premier ni mtihani timu nyingi zitakuwa vituko.