Myweather hawezi kupigana na Joshua au Tyson
[/QUOTE
Ukitaka kuwa na hadhi ya Tyson. Kuwa na uzito Kama wa Tyson Kisha upigane kwenye uzito wake,umpige,uwe na hadhi yake. Kama hataki atabaki kwenye uzito wake.
Ligi kuu inatakiwa iwe na timu yenye hadhi ya ligi kuu. Kama timu iko ligi daraja la Kwanza inataka iende ligi kuu inatakiwa ipambane na timu inayoonekana dhaifu ligi kuu.
Kama timu bora ya FDL inaishindwa timu ya dhaifu ya ligi kuu Basi ibaki huko huko. Haina hadhi ya ligi kuu