TFF mpelekeni Mwamposa Taifa Akatakase Uwanja

Apostle kuna muujizaaa!!!!

Nini Kimetokea??

Ibanezafrica alitabiri kwamba kuna siku utaenda kuutakasa uwanja wa taifa.
 
Hatimaye tff wamesikia kilio chetu wananchi.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Wananchi vp tena, mbona mmekuwa wepesi kusahau..!??

Mbona goli la Al Hilal lilifungwa upande huo wa kusini!!!

Zanaco alichana bikini ya Mwananchi na kusokomeza mipini miwili upande huo wa kusini 😀
Na alibakiza goli moja tu akamilishe pakti tatu za cond-Hom

Rivers Utd nae upande ule ule akafungulia koki

Vipers nao waliwadonyoa upande huo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…