Hivi tff mnashindwa Nini kuomba hata mechi ya kirafiki hata Moja na tumefuzu afcon .
Tuliofuzu nao wengi Wanapiga Friend match ila tff mpo kimya
Nb:ilikua ni muda mzuri kwa wachezaji ambao hawapangwi mara kwa mara kuonyesha uwezo wao. Na mbinu tofauti tofauti za kocha tungeziona
Timu ikitolewa afcon mapema mnafukuza kocha kumbe maandalizi sifuri .