Tff mpo kimya na taifa stars

Tff mpo kimya na taifa stars

costview

Member
Joined
Feb 21, 2023
Posts
35
Reaction score
41
Hivi tff mnashindwa Nini kuomba hata mechi ya kirafiki hata Moja na tumefuzu afcon .
Tuliofuzu nao wengi Wanapiga Friend match ila tff mpo kimya
Nb:ilikua ni muda mzuri kwa wachezaji ambao hawapangwi mara kwa mara kuonyesha uwezo wao. Na mbinu tofauti tofauti za kocha tungeziona
Timu ikitolewa afcon mapema mnafukuza kocha kumbe maandalizi sifuri .
 
Tifuatifua ya Karai hiyo zero kabisa, kuwa tu mpole.
 
Back
Top Bottom