TFF mpya ina lipi jipya?

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Tunahitaji kuanza kuwafanyia tathmini kwa huko tulikotoka na yale waliyoyaahaidi, ikiwa inaelekea miezi 7 sasa tunahitaji kuambiwa nini mwelekeo wao hadi sasa na vipi nafasi ya timu yetu ya taifa hadi sasa ...Kulikoni inazidi kushuka kila uchao?
 
Tunahitaji kuanza kuwafanyia tathomini kwa huko tulikotoka na yale waiyoyahaidi, ikiwa inaelekea miezi 7 sasa tunahitaji kuambiwa nini mwelekeo wao hadi sasa na vipi nafasi ya timu yetu ya taifa hadi sasa ...kulikoni inazidi kushuka kila uchao?
Ina sura za watu tofauti na tuliowazoea...
 
Ina sura za watu tofauti na tuliowazoea...
Nimecheka pasipo kutegemea, ila kweli aisee. Sura sura tu sahivi lakini soka letu haliwezi kwenda popote ...sana sana ni mapicha picha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…