Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina sura za watu tofauti na tuliowazoea...Tunahitaji kuanza kuwafanyia tathomini kwa huko tulikotoka na yale waiyoyahaidi, ikiwa inaelekea miezi 7 sasa tunahitaji kuambiwa nini mwelekeo wao hadi sasa na vipi nafasi ya timu yetu ya taifa hadi sasa ...kulikoni inazidi kushuka kila uchao?