TFF mrudisheni Marcio Maximo atupeleke kombe la dunia

Kichaa Msafi

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
1,087
Reaction score
2,134
Kama mada isemavyo, bila kupepesa macho naomba tff wamrudishe maximo,
Naamini kwa uzoefu wake katika soccer la Tanzania na mpira anaoufundisha wa 50% kushambulia na 50% kuzuia naamini tutafika Qatar, pia anajicho la kuchagua wachezaji na mhamasishaji pia, Ndayiragije kandarasi yake naamini itaishia nyayo pâle Nairobi.
 
Maximo tena karne hii! Mimi nadhani zama zake zilishapita. Muhimu hao tffccm waangalie tu kocha aliyekamilika ndani na nje ya uwanja. Wasituletee tena Amunike mwingine. Tunataka wamlete kocha.
 
Kocha awe Paul Makonda anatutosha sana maana ametupeleka AFCON kwa hamasa zake alafu ni mzalendo

Haina haja ya Maximo
 
Hi nchi inachekesha sana makocha walio tufanyia mambo makubwa ndio wanao chukiwa na kukejeliwa

Maximo alitupeleka CHAN
Amunike alitupeleka AFCON

kwangu mimi hawa ndio makocha bora kabisa kuwahi kuifundisha timu yetu ya Taifa
Miaka 10 imepita CV ya Maximo haijavunja
Naamini itapita miaka 10 hakuna atakae vunja CV ya Amunike
 
Kwa mfumo wa soka wa bongo, ligi ya hovyo ya bongo, bajeti ndogo ya michezo na viongozi wasio na mikakati madhubuti wala maono hata aje Pep Gudiola hatuwezi kufanikiwa! Sisi (ccm) tunauwezo wa kushinda ' chaguzi' sio michezo!
 
Tanzania hata tumlete Klop.na Gadiola kwa paomoja hatuendi mahali bila maandolizi ya maana.
 
Well done
Hi nchi inachekesha sana makocha walio tufanyia mambo makubwa ndio wanao chukiwa na kukejeliwa

Maximo alitupeleka CHAN
Amunike alitupeleka AFCON

kwangu mimi hawa ndio makocha bora kabisa kuwahi kuifundisha timu yetu ya Taifa
Miaka 10 imepita CV ya Maximo haijavunja
Naamini itapita miaka 10 hakuna atakae vunja CV ya Amunike
 
Maximo tena karne hii! Mimi nadhani zama zake zilishapita. Muhimu hao tffccm waangalie tu kocha aliyekamilika ndani na nje ya uwanja. Wasituletee tena Amunike mwingine. Tunataka wamlete kocha.
Tanzania itakuwa sio nchi ya kwanza kumwajiri kocha ambaye ashawahi kuifundisha miaka ya nyuma
 
Hi nchi inachekesha sana makocha walio tufanyia mambo makubwa ndio wanao chukiwa na kukejeliwa

Maximo alitupeleka CHAN
Amunike alitupeleka AFCON

kwangu mimi hawa ndio makocha bora kabisa kuwahi kuifundisha timu yetu ya Taifa
Miaka 10 imepita CV ya Maximo haijavunja
Naamini itapita miaka 10 hakuna atakae vunja CV ya Amunike
Well Said brother
 
Tanzania hata tumlete Klop.na Gadiola kwa paomoja hatuendi mahali bila maandolizi ya maana.
Mimi naamini tukiondoa siasa michezoni na tukaweka mbali uchura na umkia tutafika mbali sana tanzania
 
Wakati ule Jakaya analipia Mishahara makocha wa Kigeni kuna Wajanja pale TFf na Wizara ya Michezo walikuwa wanakula 10% zao ndio sababu walishawishi wawe wanalipwa mishahara mikubwa ili na 10% iwe kubwa

Alipobaki Kocha Mzalendo Mkwasa wakaanza fitna eti Mshahara Mkubwa apunguziwe Jakaya akawapuuza kwa kuwa alijua kwa Mkwasa kwa kuwa hawapati mgao wakataka kumfanyia Fitna

Siku Jk anaagwa na Wasanii pale Mlimani City 2015 Alichana live kuwa kwa kuwa ni Mmatumbi mwenzao wakaona hastahiki pesa ndefu

Kocha wa Team ya Taifa atoke JWTZ kwa kuwa ‘ ... Jeshi halishindwi Afandeee....’
 
Kama mada isemavyo, bila kupepesa macho naomba tff wamrudishe maximo,
Naamini kwa uzoefu wake katika soccer la Tanzania na mpira anaoufundisha wa 50% kushambulia na 50% kuzuia naamini tutafika Qatar, pia anajicho la kuchagua wachezaji na mhamasishaji pia, Ndayiragije kandarasi yake naamini itaishia nyayo pâle Nairobi.

Eti maximo 😂😂 nyie hata muletewe Guadiola kazi bure tu.
 
Makisimo anafundisha timu gani kwa sasa (wapi pa kumpata)
 
1564640251538.png
 
Back
Top Bottom