Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,087
- 2,134
Kama mada isemavyo, bila kupepesa macho naomba tff wamrudishe maximo,
Naamini kwa uzoefu wake katika soccer la Tanzania na mpira anaoufundisha wa 50% kushambulia na 50% kuzuia naamini tutafika Qatar, pia anajicho la kuchagua wachezaji na mhamasishaji pia, Ndayiragije kandarasi yake naamini itaishia nyayo pâle Nairobi.