TFF msipolitolea majibu hili mtashuhudia kipigo kingine viwanjani

TFF msipolitolea majibu hili mtashuhudia kipigo kingine viwanjani

Katafute pesa acha kufuatilia maisha ya watu. Yani mtu kajipostia mambo yake humo wewe unatokwa mishipa ya shingo. Mbona usianze kuchoma nyumba za mashabiki wa Simba wanaopokea wachezaji wa timu pinzani zinazokuja kucheza na Yanga? Tukiwa uraiani tuna jeuri nyingi, nenda kachome nyumba ndio utajua kazi ya Jeshi la Polisi.
timu zipi za kimataifa zinakuja kucheza na yanga...
 
Umesahau Manji aliwaingiza uwanjani bure baadae mkaoshangilia TP Mazembe dhidi ya Yanga pale taifa

Yanga tunashangilia timu yeyote inayocheza dhidi ya Makolo aka mbumbumbu
 
Back
Top Bottom