TFF msipolitolea majibu hili mtashuhudia kipigo kingine viwanjani

timu zipi za kimataifa zinakuja kucheza na yanga...
 
Umesahau Manji aliwaingiza uwanjani bure baadae mkaoshangilia TP Mazembe dhidi ya Yanga pale taifa

Yanga tunashangilia timu yeyote inayocheza dhidi ya Makolo aka mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…