kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo kuna mpira ulitoka nje nkane akauwahi kuna kadi ya mwanzo ya maunevu mchezaji anakwenda kurusha mpira akapewa kadi penati soft sana kiujumla hakutaka wachezaji wa yanga wafanye battle ya kunyang'anywa mpira,Tff refa yule tusimuone tena mechi za yanga au mpelekeni mechi za daraja la kwanza analeta upuuzi wake.
Haki itendeke timu zote zipo daraja moja ligi kuu kushinda kwa haki kushindwa kwa haki sio kwa mbeleko ya marefa!
Narudia tusimuone tena ana mahaba yasiyo na kificho ni aibu kwa ligi mnayojinasibu ni ya sita kwa aina ya waamuzi wale ndio maana hawaitwi mechi za kimataifa!