Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani CCM ni si ndioimetuongoz kwa miaka yote hii ....au kwenye Soka tunaongozwa na ACT!Acha basi kujifanya kama vile sio mjinga! Unakumbuka rais wa Iceland kule Urusi?
Sina ushabiki wa Ccm ila unaingiza Ccm kwenye mambo ambayo hata haitakiwi kuwekwa. Ccm iwekeni kwenye madaraja sio kufeli kwa Taifa Stars.
Mkuu kwani CCM ni si ndioimetuongoz kwa miaka yote hii ....au kwenye Soka tunaongozwa na ACT!
Mimi siyo shabiki wa mpira Ila msikute huyo kocha keshakuwa tajiri amenunuliwa apange timu mbovu na hiyo nchiAachie ngazi tu game plan yake ilikuwa ya kindumilakwili
Hivi kiongozi hata ungepewa wewe nafasi ya kupanga kikosi cha ushindi ungepanga kikosi kile...??? Tuwe wakweli tu katika hili kocha kazingua... Na kuna muda ilionekana kama wanaongea katika kutokuelewana na makocha wenzieSs mtafukuza makocha wangap??? Hauoni kua tatzo sio kocha pekee????