Mimi sio mjua michezo sana ilaaa nashabikia yanga..
Halafu nakuja ktk mada yenyewe::kwa upeo wangu mdogo tungeacha timu ya taifa iongozwe na wazawa wenyewe jamani kwani hao wana uchungu na nchi yao na wanawajua wachezaji wote vizuri kuliko kuwasoma ktk computer.. hii itasukuma hata kupata wachezaji bora hata hilo benchi la ufundo lote livunjweee na kuundwa jipya la wanaojielewa.. tuna wachezaji wakongwe ambao wanajua makosa yetu na akili za watanzania ni watanzania wenyewe na sio mgeni.. asanteni sana.