TFF Na Bodi ya Ligi hili limepita msimu ujao fanyeni ligi kuwa bora na yenye heshima

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Kutokana na mapungufu mengi ambayo yalitokana na Waamuzi, Bodi ya ligi na kamati zake,basi TFF unapewa lawama kubwa sana kealuyafumbia macho hasa kama msimamizi wa mpira nchini. Kwa musimu ujao fuateni kanuni rekebisha kasoro zote zilizojitokeza ili ligi yetu iwe ligi bora Barani Afrika.

Hongereni Yanga kwa Ushindi wa Jana hakika mlisahili Kushinda Jana
Matumaini Yangu Uongozi Ujao wa TFF na Bodi ya Ligi utafanyia kazi Mapungufu yaliyojitokeza katika Msimu huu hasa Upendeleo wa Wazi kwa Club zetu pendwa Mbili Simba na Yanga.

Ni wakati wa Kuifanya Ligi yetu kuwa moja ya Ligi bora Africa
Ushindi wa Simba na Ubingwa wa Yanga umechangiwa na mapungufu makubwa katika uendeshaji wa Ligi Yetu.
Hongereni Yanga kwa Kuwa Bingwa Tena katika Ligi Yetu ila TFF simamieni katika udhamini!
 
Makolokolo yamedekezwa sana NBC PL 2024/2025 kama mitoto ya 2000 yrs mikina Juniors

Kimsimamo ligi kuu ilipaswa Mipang'ang'a iwe nafasi ya 8 au 10.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa Simba kama hiki. Timu yao imeonekana kama ilikuwa inaikimbia Yanga ili wasicheze nayo, timu yao imeonekana haina mamlaka wala msimamo, wamefungwa mara tano mtawalia na watani wao wa jadi na wamemaliza msimu bila kombe lolote. Inauma sana
 
Ilipokubali tu kuingiliwa na wanasiasa ndio kila kitu kiliishia hapo
Walasiyo wanasiasa bali wamekubali kuacha misingi ya kazi zao na kufuata ushabiki wa klabu yao hadi kupelekea kumbeba kolo kwa hali na mali ili awe bingwa.
 
Kutokana na mapungufu mengi ambayo yalitokana na Waamuzi, Bodi ya ligi na kamati zake,basi TFF unapewa lawama kubwa sana kealuyafumbia macho hasa kama msimamizi wa mpira nchini. Kwa musimu ujao fuateni kanuni rekebisha kasoro zote zilizojitokeza ili ligi yetu iwe ligi bora Barani Afrika.

Hongereni Yanga kwa Ushindi wa Jana hakika mlisahili Kushinda Jana
Matumaini Yangu Uongozi Ujao wa TFF na Bodi ya Ligi utafanyia kazi Mapungufu yaliyojitokeza katika Msimu huu hasa Upendeleo wa Wazi kwa Club zetu pendwa Mbili Simba na Yanga.

Ni wakati wa Kuifanya Ligi yetu kuwa moja ya Ligi bora Africa
Ushindi wa Simba na Ubingwa wa Yanga umechangiwa na mapungufu makubwa katika uendeshaji wa Ligi Yetu.
Hongereni Yanga kwa Kuwa Bingwa Tena katika Ligi Yetu ila TFF simamieni katika udhamini!
Hapo TFF wanatakiwa vijana wenye vision na wanaojua mpira, siyo hao wazee wanaoishi kizamani wakati mazingira yamebadilika
 
Back
Top Bottom