Kutokana na mapungufu mengi ambayo yalitokana na Waamuzi, Bodi ya ligi na kamati zake,basi TFF unapewa lawama kubwa sana kealuyafumbia macho hasa kama msimamizi wa mpira nchini. Kwa musimu ujao fuateni kanuni rekebisha kasoro zote zilizojitokeza ili ligi yetu iwe ligi bora Barani Afrika.
Hongereni Yanga kwa Ushindi wa Jana hakika mlisahili Kushinda Jana
Matumaini Yangu Uongozi Ujao wa TFF na Bodi ya Ligi utafanyia kazi Mapungufu yaliyojitokeza katika Msimu huu hasa Upendeleo wa Wazi kwa Club zetu pendwa Mbili Simba na Yanga.
Ni wakati wa Kuifanya Ligi yetu kuwa moja ya Ligi bora Africa
Ushindi wa Simba na Ubingwa wa Yanga umechangiwa na mapungufu makubwa katika uendeshaji wa Ligi Yetu.
Hongereni Yanga kwa Kuwa Bingwa Tena katika Ligi Yetu ila TFF simamieni katika udhamini!