Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Nakemea kwa kile kilichotokea na hata Simba wana haki ya kusikilizwa hoja zao. Lakini swala la kuahirisha hii mechi ni jambo ambalo limeonesha udhaifu wa kitaasisi zinazosimamia ligi ya NBC PL. Kuna haki ya mdhamini, mashabiki na hata anayerusha matangazo mlizingatia hilo kabla ya kufikia maamuzi haya? Vipi gharama zilizotumika kufanya maandalizi kwa kila upande mmefikiria hayo?
Sababu kuu ya kuahirisha hii mechi ni ipi zaidi kumlea huyu baby girl/ baby drama/ last born anayependa kulia lia bila sababu ya msingi? Kwa sababu kama taarifa inakiri hawakufanya mawasiliano yoyote wao wanalalamika nini kufikia kususia mechi! Kosa ni la nani? Kiukweli ni aibu ya Muongo mzima mnaibeba nyie wenyewe.