TFF na Bodi ya Ligi Kuu NBC hii aibu yenu mtaificha wapi?

TFF na Bodi ya Ligi Kuu NBC hii aibu yenu mtaificha wapi?

Kwanza hao wazee waliojazana hapo wameshachoka kifikra na kimaamuzi, hapo wanapaswa kukaa vijana
Uko sahihiiii sana! Hata pale simba wale akina magori ndo wameleta yote haya! Na tofauti ya yanga na simba ni management yanga vijana simba wazee!
 
Aibu ni Yale majinga yaliyotuma ma BAUNSA kuzuia timu kufanya mazoezi
 
Hivi mmesahau na Yanga nae aligoma 2020?kulwa akisusa na Doto ni hivyo hivyo,tunaposema hizi timu ni za Serikali huwa hamuamini
 
Hao mabaunsa uewapima DNA ikathitika ni Yanga
Ndio tena nimeichukua swab za mama zao ambazo ndizo zinatoa jibu sahihi na kuthibitisha wazi kuwa matipwa tipwa hao wenye miili mkubwa lakini Haina akili ilitumwa kuwazuia Simba waliokuwa na wazee wao waliokuja kuangalia burudani ya vijana hao huku kwenye gari wakiwa na vitoweo vya mbuzi kwa ajili ya daku Sasa sijui hao mapunguani yalifikiri hao wazee na hizo mbuzi ni za nini?
 
Mchezo wa kuizuia Simba kufanya mazoezi kwenye uwanja utakaotumika kucheza mchezo husika ilianza na RC Said Mtanda wa Mwanza (ambaye ni Yanga lia lia kabisa), kwenye fixture ya Pamba FC Vs Simba. Sasa wapuuzi wa Uto mnataka kuendelea upumbavu wenu. Awamu hii mmekwama mbwa nyie!
Hao hao wapumbavu huwasikii wakilaani kilichosababisha Simba kugoma bali wanapiga domo kwa nini mechi imeahirishwa
 
Ama hazikuwepo au timu inasimamiwa na watu wasiojua nini wanafanya. Rejea uwajibikaji wa Mwanasheria wa timu.
Tugome kwani kuna kanuni inayosema timu isipocheza siku moja kabla ya mechi inatakiwa kususia mechi? Pili aliye wazuia si mwenye funguo ,ule uwanjawa serikali sio wa TFF.

Tatu CAF championship ukienda Uarabuni mara kibao,timu zinafanyiwa visa mpaka sometimes wananyimwa nafasi ya kufanya mazoezi kabla ya mechi ,ila hamna mtu anaye susa ,mechi inapigwa then baada ya hapo ripoti ikikabidhiwa kwa CAF ndio adhabu inatolewa,ina maana hizo clubs zinazo shiriki mashindano ya CAF hazina wanasheria?
 
Back
Top Bottom