TFF na bodi ya ligi mnapokalia kimya huu utumbo unaofanywa na marefa ni dhahiri kuwa mmetoa baraka zote

Vipi ile faulo aliochezewa kibu je haikuwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kweli!!! Je simba hawawezi kulalamikia maamuzi ya refarii!!
Sikia mkuu kila mmoja ashinde mechi zake..
hawa jamaa wanaweza kulialia aisee, Yan jamii forum yote wamejaza threads za malalamiko tu
 
KAMA HUNA HOJA BORA KUKAA KIMYA KULIKO KUONESHA HUU UPUMBAVU UNAOUFANYA.
 
Povu hilo
 
NAKAZIA.
 
Mkuu nashukuru kwa kuliona ilo, yan wanaongea pumba nyingi lkn ilo ulilolisema hawalioni kibu amezuiwa kufunga ilikuwa apewe umeme lkn haikuwa ivyo, mwisho wa siku watu wanalalama tu.
ELEZA WEWE PALE UMEME UNAKUJAJE??
 
Dawa ya Simba na Yanga ni kucheza limataifa,kule hakuna mbeleko

Mkuu usijari,tarehe Ishirini Oktoba siyo mbali na makundi kuanzia kuchezwa siyo mbali

Tutaona ni nani anaujua mpira kati ya Simba na Yanga

Kule hakuna bahasha
NAKAZIA.
 
Acha kulia....
 
Ukiona hivyo sio lazima marefa wetu wakachezeshe kimataifa. Ligi namba 5 kwa ubora acha waishie hapo hapo
 
Kunywa sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli binadam tumeumbiwa kusahau... Ila ngoja tukumbushane yani mambo yametokea tu msimu ulopita leo hii tumekwisha sahau aisee.
Haya twende kazi Yanga (H&A) vs Azam marefa hawakua fea kwa kuipendelea Yanga mechi zote mbili na mwisho wa siku baadhi yao walifungiwa hadi miezi 6.

Yanga (A) vs Geita Gold refa wakati hakua fea alipendelea Yanga akafungiwa miezi 6.

Yanga (A) vs Namungo yaani mchezaji wa Yanga anashika mpira ndani ya zoni ya 18 ya Namungo halafu refa akafunika tuta dhidi ya Namungo.

Hayo ni baadhi ya matukio ya upendeleo yaliyochagiza kuipa Yanga ubingwa kirahisi lasti sizoni.

Halafu pia mechi ya SFG vs Simba ya hapo jana yule kibendera hakua fea hata kwa Simba kwakua Simba kashinda ndomana uzi umekua hivi ulivyo ila angefungwa Simba hali isingekua hivi kuhusu maamuzi ya yule laini tu,
pia refa wa kati kuna muda mchezaji wa mwisho wa SFG alicheza faulo alipaswa kuonyeshwa redi kadi lakina hakufanya hivyo.
 
MIMI NIMEWEKA USHABIKI PEMBENI SIHASEMA SIMBA SC ANAPENDELEWA ILA NIMESEMA HAWA MAREFA WANAWALINDA SIMBA NA YANGA

SASA HUU MFUMO HADI LINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…