TFF na bodi ya ligi mnapokalia kimya huu utumbo unaofanywa na marefa ni dhahiri kuwa mmetoa baraka zote

Vipi ile faulo aliochezewa kibu je haikuwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kweli!!! Je simba hawawezi kulalamikia maamuzi ya refarii!!
Sikia mkuu kila mmoja ashinde mechi zake..
hawa jamaa wanaweza kulialia aisee, Yan jamii forum yote wamejaza threads za malalamiko tu
 
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
KAMA HUNA HOJA BORA KUKAA KIMYA KULIKO KUONESHA HUU UPUMBAVU UNAOUFANYA.
 
Sasa nimegundua ni kwa nini marefa wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa.

Kuanzia mechi ya Azam FC dhidi ya Dodoma waamuzi waliochezesha ile mechi ni utumbo mtupu tena Azam FC wananyimwa goli sijui TFF na Bodi ya ligi mnaawaadhibu vipi hao marefa.

Tazama mechi ya Singida Fountain Gate FC dhidi ya Simba SC Kuna makosa mengi sana yaliyofanywa na waamuzi mpaka unajiuliza hivi hawa marefa huwa wanajifunza sheria kweli?

Ukifuatilia mpira kwa makini unagundua kuwa refalii wapo kwa ajili ya kuzilinda Simba na Yanga tu maana wao Wana mashabiki ambapo watakapo ona wanazulumiwa ni lazima wapige kelele kwenye mitandao.

Kwa uchezeshaji huu ni ngumu sana kwa marefa kuitwa katika mechi za kimataifa na ukizingatia ligi yetu inakua kila siku inaongeza wafatiliaji na mashabiki wapya kutoka nchi za jirani na kimataifa pia.

TFF na Bodi ya ligi Kama mtaendelea kukaa kimya juu ya huu utumbo Basi ni wazi mnaitia doa ligi yetu na wapenzi wa mpira tutaamini kuwa nyinyi ndiyo mnabariki haya Madudu yanayofanywa na marefa.
Povu hilo
 
Punguza ushabiki, angalia Mpira vizuri , wakati beki anamzuia Kibu upande wa kushoto kwake Kuna beki mwingine alikuwa mbele yake ndani ya box lao kufanya marking kama Kibu asingeangushwa! Refa alikuwa sahihi rejea picha za video utaona vizuri lile tukio , sawa kolo wizard? Mmebebwa Leo goli halali la Singapore Big Stars limekataliwa na Sasa inatia kinyaa kuangalia mechi zenu, Simba kwasasa mpira hamjui mnalazimisha ushindi!
Mbio zenu za ubingwa zitaishia jangwani tutaweka full mkoko na kuwakanda ndani nje!

Nawashauri Singida big Stars mkalalamike Fifa ubovu wa TFF kuweka marefa wa msimbazi, Leo mlistahili ushindi mmeonewa msikubali maana mtaonewa Kila mechi na uonevu utaendelezwa Kwa timu zingine underdog!

Kweli Simba mbumbumbu wamejaa mwenye akili mmoja tu Rage the Great Nampa maua yake now now [emoji259][emoji1651][emoji254][emoji255][emoji260][emoji262][emoji272][emoji253][emoji255][emoji2530][emoji816][emoji258]
NAKAZIA.
 
Mkuu nashukuru kwa kuliona ilo, yan wanaongea pumba nyingi lkn ilo ulilolisema hawalioni kibu amezuiwa kufunga ilikuwa apewe umeme lkn haikuwa ivyo, mwisho wa siku watu wanalalama tu.
ELEZA WEWE PALE UMEME UNAKUJAJE??
 
Dawa ya Simba na Yanga ni kucheza limataifa,kule hakuna mbeleko

Mkuu usijari,tarehe Ishirini Oktoba siyo mbali na makundi kuanzia kuchezwa siyo mbali

Tutaona ni nani anaujua mpira kati ya Simba na Yanga

Kule hakuna bahasha
NAKAZIA.
 
Sasa nimegundua ni kwa nini marefa wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa.
Mbona wanaitwa sana tu?

1696824849359.png
 
Sasa nimegundua ni kwa nini marefa wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa.

Kuanzia mechi ya Azam FC dhidi ya Dodoma waamuzi waliochezesha ile mechi ni utumbo mtupu tena Azam FC wananyimwa goli sijui TFF na Bodi ya ligi mnaawaadhibu vipi hao marefa.

Tazama mechi ya Singida Fountain Gate FC dhidi ya Simba SC Kuna makosa mengi sana yaliyofanywa na waamuzi mpaka unajiuliza hivi hawa marefa huwa wanajifunza sheria kweli?

Ukifuatilia mpira kwa makini unagundua kuwa refalii wapo kwa ajili ya kuzilinda Simba na Yanga tu maana wao Wana mashabiki ambapo watakapo ona wanazulumiwa ni lazima wapige kelele kwenye mitandao.

Kwa uchezeshaji huu ni ngumu sana kwa marefa kuitwa katika mechi za kimataifa na ukizingatia ligi yetu inakua kila siku inaongeza wafatiliaji na mashabiki wapya kutoka nchi za jirani na kimataifa pia.

TFF na Bodi ya ligi Kama mtaendelea kukaa kimya juu ya huu utumbo Basi ni wazi mnaitia doa ligi yetu na wapenzi wa mpira tutaamini kuwa nyinyi ndiyo mnabariki haya Madudu yanayofanywa na marefa.
Acha kulia....
 
Ukiona hivyo sio lazima marefa wetu wakachezeshe kimataifa. Ligi namba 5 kwa ubora acha waishie hapo hapo
 
Mi nimeamua kuanzia Leo siangalii Tena mechi za Simba kubebwa kumezidi hadi inatia kichefuchefu Singida BS wameonewa Sana Leo, walistahili ushindi , kila faulo inaenda kwao, goli lao la wazi wamenyimwa Ili kuipa Simba nafasi ya kufunga na kuongoza ligi. Mchezaji wa Big Stars hakuwa offside maana alisharudi ndani na nyuma yake walikuwa mabeki wa Simba na mpira ulishachezeka iweje awe offside , Sheria namba ngapi ilitumika? Othman Kazi hebu njoo uchambue lile goli na lingekubaliwa Simba ingelala leo. Hawa marefa wa msimbazi hawafai, wanashusha ladha ya boli na kuharibu uwekezaji wa Azam kuonesha mechi live Africa nzima , hii ni aibu kwa taifa, yule lines man niliona kama ni Mzee, Hana akili na hafai kuwa kibendera , haya ni madudu ya Mr Karai kung'ang'ania uongozi wa TFF Ili mkakati wake Simba kuchukua ubingwa ufaulu. Na hatoweza kufanikiwa maana Yanga tutamkanda Simba ndani nje na kuchukua points 6 na kazi yote ya kuibeba Simba itaishia hapo!

Kwa mazingira haya timu nyingi zikicheza na Simba hazitoshinda hata wajitoe vipi na inavunja moyo sana mtu unammudu anabebwa hadi inaboa sana!
Kunywa sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli binadam tumeumbiwa kusahau... Ila ngoja tukumbushane yani mambo yametokea tu msimu ulopita leo hii tumekwisha sahau aisee.
Haya twende kazi Yanga (H&A) vs Azam marefa hawakua fea kwa kuipendelea Yanga mechi zote mbili na mwisho wa siku baadhi yao walifungiwa hadi miezi 6.

Yanga (A) vs Geita Gold refa wakati hakua fea alipendelea Yanga akafungiwa miezi 6.

Yanga (A) vs Namungo yaani mchezaji wa Yanga anashika mpira ndani ya zoni ya 18 ya Namungo halafu refa akafunika tuta dhidi ya Namungo.

Hayo ni baadhi ya matukio ya upendeleo yaliyochagiza kuipa Yanga ubingwa kirahisi lasti sizoni.

Halafu pia mechi ya SFG vs Simba ya hapo jana yule kibendera hakua fea hata kwa Simba kwakua Simba kashinda ndomana uzi umekua hivi ulivyo ila angefungwa Simba hali isingekua hivi kuhusu maamuzi ya yule laini tu,
pia refa wa kati kuna muda mchezaji wa mwisho wa SFG alicheza faulo alipaswa kuonyeshwa redi kadi lakina hakufanya hivyo.
 
MIMI NIMEWEKA USHABIKI PEMBENI SIHASEMA SIMBA SC ANAPENDELEWA ILA NIMESEMA HAWA MAREFA WANAWALINDA SIMBA NA YANGA

SASA HUU MFUMO HADI LINI.
 
Back
Top Bottom