TFF na bodi ya ligi mnapokalia kimya huu utumbo unaofanywa na marefa ni dhahiri kuwa mmetoa baraka zote

Wajinga wengi wa yanga Utopolo waliitegemea sana Singida ndio isimamishe simba. Poleni mtaharisha sana mwaka huu. Acheni marefa wachezeshe na mjue wao ni binadamu pia.
 
Wajinga wengi wa yanga Utopolo waliitegemea sana Singida ndio isimamishe simba. Poleni mtaharisha sana mwaka huu. Acheni marefa wachezeshe na mjue wao ni binadamu pia.
HATA MAREFA WA KIMATAIFA NI BINADAMU
 
WATU NI WAGUMU SANA KUELEWA.
Mbumbumbu FC ni pasua kichwa bora uyaache tu.

Mbona ulianza kulalamikia Marefa mechi ya Azam Vs Dodoma jiji kwa Azam FC kunyinwa haki kimaamuzi ila hawakukutukana?

Leo kuwasema Makolokolo FC ndiyo iwe nongwa?

Si umeeleza vizuri sana tu kwa mizani yote miwili Simba na Yanga kubebwa dhidi ya timu zingine za NBC PL?

Kweli wapumbavu hawawezi kuelimishwa na kuelimika zaidi ya kupoteza tu muda.

Makolokolo FC yatakandwa na yatamkataa Kocha wao ni muda tu ndiyo mwamuzi sahihi maana yana kikosi cha Wazee weng/age gone au "Vibabu" na huchezeshwa muda mrefu sana bila kufanyiwa mabadiliko.

Pumzi itakata tu maana kukabiliana na CAF Super league, CAF CL, NBC PL, FA, mechi za timu za Mataifa hawataweza.

Tuombe uzima huu ujumbe wataufukua baadaye tu na kuniita mi Nabii kumbe ni akili tu inayodhihirisha ukweli.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
NAKAZIA
 
Unakumbuka penalty ya Fei toto dhidi ya Namungo msimu uliopita?? Unakumbuka penalty ngapi tata mlizopewa?

Mkuu, tatizo sio timu tatizo ni waamuzi wana uwezo mdogo wa kuchezesha, pia wanaziogopa hizi Simba na Yanga.
 
Unakumbuka penalty ya Fei toto dhidi ya Namungo msimu uliopita?? Unakumbuka penalty ngapi tata mlizopewa?

Mkuu, tatizo sio timu tatizo ni waamuzi wana uwezo mdogo wa kuchezesha, pia wanaziogopa hizi Simba na Yanga.
HAWAZIOGOPI BALI KUNA NAMNA INATENGENEZWA.
 
Sio Singida tu hata nyinyi Yanga mkicheza na Simba hamtashinda mtaishia kupigwa tu kama tunavyofanyaga
 
Kwani tulivyo wakanda last game Ally Salim akiwa golini hamkuweka full mkoko? au upo unaota mkuu?
Robertinho sio kocha wa kufungwa na Uto hata tucheze mechi zote 30 mfululizo mimi na wewe mpaka ligi iishe zote Tinyo anawanyoa
 
Yeye awezi kuongelea hilo....sababu ya anaona sawa tu
 
Goli lililokataliwa la Singida lilikuwa halali au la, nafikiri hili ndio tukio kubwa linalolalamikiwa.
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Nlikuwa nafkir unachambua kwa kina ila ulivyosema Tena yanga atamfunga Simba nikakumbuka kipgo Cha EF bdo kinawasumbua...mnaenda kweny mabanda kushabikia team pinzani kwa kujifariji
 
Lawama zipenelekwe EF...katoa bikra bdo Binti mmbichi kabisa
 
Tuacheni.

Sisi usajili wetu mwaka huu tumewekeza kwa baadhi ya wachezaji wa timu pinzani na kwa Waamuzi wa mechi zetu na za mechi wanazocheza Utopolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ