NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
TFF na Bodi ya ligi msifurahie kuhesabu kibunda (fedha za mapato ya uwanja) huku mashabiki/wateja zenu wakipata karaha kwa sababu ya miundo mbinu mibovu.
Nimesikitishwa sana kusikia mtu kafariki kwa sababu ya kusukumana na wengine kujeruhiwa hili suala linaenda kuwa sugu haswa pale zinapokuja mechi kubwa na za kimataifa.
Sasa furaha ipo wapi Kama ndugu zetu wanafia uwanjani na kujeruhiwa TFF na Bodi ya ligi boresheni miundo mbinu ya kuwalinda mashabiki/wateja wenu wasigadhabike wanapokuja uwanjani kwani mpira ni furaha na Wala siyo Vita.
Mkiweka mikakati mizuri ya kuingia uwanjani hutoona hao Suma jkt kukwaruzana na mashabiki kabisa.
Nawasilisha hoja.