TFF na Bodi ya ligi nafikiri mmeona Suma JKT walivyowapiga mashabiki kwa sababu ya mipangilio mibovu ya kuingia iliyopangwa Getini

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
TFF na Bodi ya ligi msifurahie kuhesabu kibunda (fedha za mapato ya uwanja) huku mashabiki/wateja zenu wakipata karaha kwa sababu ya miundo mbinu mibovu.

Nimesikitishwa sana kusikia mtu kafariki kwa sababu ya kusukumana na wengine kujeruhiwa hili suala linaenda kuwa sugu haswa pale zinapokuja mechi kubwa na za kimataifa.

Sasa furaha ipo wapi Kama ndugu zetu wanafia uwanjani na kujeruhiwa TFF na Bodi ya ligi boresheni miundo mbinu ya kuwalinda mashabiki/wateja wenu wasigadhabike wanapokuja uwanjani kwani mpira ni furaha na Wala siyo Vita.

Mkiweka mikakati mizuri ya kuingia uwanjani hutoona hao Suma jkt kukwaruzana na mashabiki kabisa.

Nawasilisha hoja.
 
Sikumbuki ni lini Askari wa Suma JKT wamewahi Kumiliki Akili zaidi tu ya Upumbavu wanaoumiliki Kutwa.

Hii ni kutokana na kukutana na baadhi ya mambo ambayo ni nje ya matarajio yao.

Walitegemea wawe wanajeshi ila sasa wamekuwa walinzi wa kulipwa 250,000 mpka 350,000 lzma akili ziyeyuke kichwani na kuwa wapumbavu
 
TFF na Bodi ya ligi msifurahie kuhesabu kibunda (fedha za mapato ya uwanja) huku mashabiki/wateja zenu wakipata karaha kwa sababu ya miundo mbinu mibovu...
Naskia mmepigwa ngwala balaa
 
Afisa usalama aliye letwa na CAF kusimamia mchezo huo ndie aliye sababisha matatizo yote. Yeye ndiye aliyekua na mamlaka ya milango kufunguliwa mapema.

Haiwezekani mpaka saa 5 na nusu milango bado imefungwa na watu wamesha jazana nje.

Kwa wenye akili maafa kutokea ni jambo Lililo tegemewa.
 
Bure gharama

Wabongo wanayanga waliposikia dezo wakajaa

Ova
Issue sio bure ,issue ni mpangilio mbovu wa kuingia kiwanjani, mara kadhaa pale hata mechi za Simba na Yanga, watu wanasukumana na kuvunja geti kwa same issues.
 
Government n ya kimaku sana hii
 
Hii si kweli,nchi mwenyeji ndiye anayeshughulikia usalama wa mechi,acha uongo mkuu na pia hawa kenges wa suma hawana mamlaka ya kupiga raia au arresting power, mwanajeshi mpumbavu anampiga dereva wa bus lenye abiria ndani, wapumbavu wa kitanzania maisha yanaendelea na inakua cold case, abiria nao wanafwata mikia yao na kukimbilia kwenye soft landing (social networks)kabla ya ku push back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…