NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Hakuna watu wa kumshauri huyo afsa usalama na kumwambia namna gani mashabiki wanapata keroAfisa usalama aliye letwa na CAF kusimamia mchezo huo ndie aliye sababisha matatizo yote. Yeye ndiye aliyekua na mamlaka ya milango kufunguliwa mapema...
Kweli kabisa mkuu upo sahihi [emoji123]Hii si kweli,nchi mwenyeji ndiye anayeshughulikia usalama wa mechi,acha uongo mkuu na pia hawa kenges wa suma hawana mamlaka ya kupiga raia au arresting power, mwanajeshi mpumbavu anampiga dereva wa bus lenye abiria ndani, wapumbavu wa kitanzania maisha yanaendelea na inakua cold case, abiria nao wanafwata mikia yao na kukimbilia kwenye soft landing (social networks)kabla ya ku push back
NAKAZIANitashangaa sana kwa hili club ya Yanga ikipigwa faini
Tena upumbavu mkubwa sanayaani unaenda kuburudika halafu UNAPIGWA, ujinga ni nini sasa?
Na wewe unajiita ni GT,furaha ya kusikia watanzania wenzako wamepigwa na wapumbavu wa suma!,sasa mmoja wapo aliyeumizwa ni ndugu yako, may be hili litakufanya utumie akiliNaskia mmepigwa ngwala balaa
Yanga Wanapenda dezooo mnoooo,simu zote kwenye dezo wanafungwaBure gharama
Wabongo wanayanga waliposikia dezo wakajaa
Ova
Kweli kabisa aiseeMashabiki daima huwa wanateseka sana hapa nchini
Una uhakika kuwa ni Yanga tu.Yanga Wanapenda dezooo mnoooo,simu zote kwenye dezo wanafungwa
Afisa usalama anayeletwa na CAF ndiye kiongozi wa maswala yote ya kiusalama katika uwanja wa mpira wa miguu.Hii si kweli,nchi mwenyeji ndiye anayeshughulikia usalama wa mechi,acha uongo mkuu na pia hawa kenges wa suma hawana mamlaka ya kupiga raia au arresting power, mwanajeshi mpumbavu anampiga dereva wa bus lenye abiria ndani, wapumbavu wa kitanzania maisha yanaendelea na inakua cold case, abiria nao wanafwata mikia yao na kukimbilia kwenye soft landing (social networks)kabla ya ku push back
Kama anapokea ushauri ilibidi watu (walinzi wetu) wamshauri hali inavyokua pale getini kipindi Cha mechi kubwa Kama hizi.Afisa usalama anayeletwa na CAF ndiye kiongozi wa maswala yote ya kiusalama katika uwanja wa mpira wa miguu.
Walio Baki hawana maamuzi zaidi ya kushauri tu...
Lengo sio kubishana ila ni kupeana more informations ili kukuza uelewa wetuAfisa usalama anayeletwa na CAF ndiye kiongozi wa maswala yote ya kiusalama katika uwanja wa mpira wa miguu.
Walio Baki hawana maamuzi zaidi ya kushauri tu...
Kaka umejuaje kuwa nimefurahi? Mi nimeandika nilichokisikia tuNa wewe unajiita ni GT,furaha ya kusikia watanzania wenzako wamepigwa na wapumbavu wa suma!,sasa mmoja wapo aliyeumizwa ni ndugu yako, may be hili litakufanya utumie akili
Ndiyo maana mimi sipendi kwenda uwanja.Issue sio bure ,issue ni mpangilio mbovu wa kuingia kiwanjani, mara kadhaa pale hata mechi za Simba na Yanga, watu wanasukumana na kuvunja geti kwa same issues.
Sasa hawa TFF na bodi ya league si wangempa ushauri tangu mwanzo, kwan huyo Afsa angekataa??Afisa usalama anayeletwa na CAF ndiye kiongozi wa maswala yote ya kiusalama katika uwanja wa mpira wa miguu.
Walio Baki hawana maamuzi zaidi ya kushauri tu, na ripoti yake baada ya mchezo ndio inayo pewa kipaumbele na CAF.
Bodi ya Ligi au Tff hawana nguvu zaidi ya kushauri kama wenyeji nini kifanyike, Vikundi vyenu vya ulinzi vitabaki na
Jukumu la ulinzi na usalama.
Utaratibu wote wa kuingia uwanjani na mambo mengine yahusuyo mchezo mamlaka anayo Afisa wa CAF.
Duuuuh