GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
'Human errors' sometimes zina arise kwenye mpira boss.Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi' Mipirani turejee hizi 'tabia' labda mtalizingatia. Sina tatizo na Yanga SC 'Kushinda' leo ila 'Hasira' zangu hasa zipo kwa 'Mwamuzi' kwa Kutoa 'Penati' ya 'Uwongo' kwa Yanga SC.
Rais wa TFF Karia, Makamu wako Nyamlani, Katibu Kidau na Msemaji wa Serikali Dk. Abbas najua mnanisoma mno hapa JF kuweni makini. Inakera!
Hizi 'Human Errors' huwa zinatokea tu katika 'Mechi' ambazo huwa zinawapa Yanga SC 'Ushindi' au na hata 'Mechi' za Timu zingine? Tutawapiga tu!'Human errors' sometimes zina arise kwenye mpira boss.
Kesho afe Mmaasai au Mmang'ati ni lazima Simba SC 'tushinde' japo najua 'Mechi' itakuwa 'ngumu' kwani Timu za 'Jeshi' zinacheza 'Kimedani' sana.Ndugu subiri kipigo/sare ya Ruvu shooting kwanza kesho ndio tutazungumza!
mimi huwa naangalia sana mpira na kwenye haki huwa nasema. ile ya yanga sio penalt na ile ya kmc kipa alivomkwatua mshambuliaji wa kmc baada ya beki wa yanga kutoa boko ni penalt japo watu hawaiongelei. ile inaitwa 'denying an opponent a goal scoring opportunity after losing a ball'. kipa alimkwatua striker wazi wazi. waamuzi wetu wanapatia kwenye corner, goal kick na mipira,ya corner basi.Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi' Mipirani turejee hizi 'tabia' labda mtalizingatia. Sina tatizo na Yanga SC 'Kushinda' leo ila 'Hasira' zangu hasa zipo kwa 'Mwamuzi' kwa Kutoa 'Penati' ya 'Uwongo' kwa Yanga SC.
Rais wa TFF Karia, Makamu wako Nyamlani, Katibu Kidau na Msemaji wa Serikali Dk. Abbas najua mnanisoma mno hapa JF kuweni makini. Inakera!
hapo kwani kuna tatixo gani au ulitaka mchezaji wa ya asigusweHapa vipi ni penati au sio? Wewe ukuwepo hata uwanjani unalalamika tu
@GENTAMYCINEHizi 'Human Errors' huwa zinatokea tu katika 'Mechi' ambazo huwa zinawapa Yanga SC 'Ushindi' au na hata 'Mechi' za Timu zingine? Tutawapiga tu!
hahahaNdugu subiri kipigo/sare ya Ruvu shooting kwanza kesho ndio tutazungumza!
Hata yanga jana qameonewa sana kwa kupigwa viatu na hakuna faulo iliyotolewaHizi 'Human Errors' huwa zinatokea tu katika 'Mechi' ambazo huwa zinawapa Yanga SC 'Ushindi' au na hata 'Mechi' za Timu zingine? Tutawapiga tu!
Ile ilikuwa ni penalti dhahiri, angalia vizuri clip imewekwa kwenye uzi huu...ila kwenu Simba siyo penalti kwani ninyi simba timu ya Yanga haistahili kupewa penalti ila nyie tu na vikaragosi vyenu Kama KMC...Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi' Mipirani turejee hizi 'tabia' labda mtalizingatia. Sina tatizo na Yanga SC 'Kushinda' leo ila 'Hasira' zangu hasa zipo kwa 'Mwamuzi' kwa Kutoa 'Penati' ya 'Uwongo' kwa Yanga SC.
Rais wa TFF Karia, Makamu wako Nyamlani, Katibu Kidau na Msemaji wa Serikali Dk. Abbas najua mnanisoma mno hapa JF kuweni makini. Inakera!
Msimu uliyoisha Simba wamepata matokeo mfululizo kwa magoli ya offside, mpaka washabiki wenyewe wa Simba mkawa mnaona aibu kwa matokeo ya kubebwa japo point tatu mnashukuru mnaziambulia kwa msaada wa waamuzi. Haya mambo yapo tu kwa kila timu, ipo siku utabebwa na waamuzi na ipo siku utanyongwa na waamuzi piaHizi 'Human Errors' huwa zinatokea tu katika 'Mechi' ambazo huwa zinawapa Yanga SC 'Ushindi' au na hata 'Mechi' za Timu zingine? Tutawapiga tu!
Acha porojo,lile tukio lilimuhisisha David Bryson na Sarpong na sio Dante na Sarpong.Hapa vipi ni penati au sio? Wewe ukuwepo hata uwanjani unalalamika tu
Pira la tecno f2Nje ya mada mkuu VP kesho tujiandae na pira lipi
Kashata
Katilesi
Kachori
Birian
Pilau
Kande
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Baada ya Refarii aliyewapa ubingwa kwa mbereko nyingi leo amekuwa mbaya tena jamani? Nyie si mlikuwa mnashangilia sana last season huku mzungu wenu uchwara akisema ni makosa ya kibinadamuEndeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi' Mipirani turejee hizi 'tabia' labda mtalizingatia. Sina tatizo na Yanga SC 'Kushinda' leo ila 'Hasira' zangu hasa zipo kwa 'Mwamuzi' kwa Kutoa 'Penati' ya 'Uwongo' kwa Yanga SC.
Rais wa TFF Karia, Makamu wako Nyamlani, Katibu Kidau na Msemaji wa Serikali Dk. Abbas najua mnanisoma mno hapa JF kuweni makini. Inakera!
Mbumbumbu hawa,msimu uliopita points kama 18 walipewa na waamuziMsimu uliyoisha Simba wamepata matokeo mfululizo kwa magoli ya offside, mpaka washabiki wenyewe wa Simba mkawa mnaona aibu kwa matokeo ya kubebwa japo point tatu mnashukuru mnaziambulia kwa msaada wa waamuzi. Haya mambo yapo tu kwa kila timu, ipo siku utabebwa na waamuzi na ipo siku utanyongwa na waamuzi pia
NdondoNje ya mada mkuu VP kesho tujiandae na pira lipi
Kashata
Katilesi
Kachori
Birian
Pilau
Kande
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app