GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi' Mipirani turejee hizi 'tabia' labda mtalizingatia. Sina tatizo na Yanga SC 'Kushinda' leo ila 'Hasira' zangu hasa zipo kwa 'Mwamuzi' kwa Kutoa 'Penati' ya 'Uwongo' kwa Yanga SC.
Rais wa TFF Karia, Makamu wako Nyamlani, Katibu Kidau na Msemaji wa Serikali Dk. Abbas najua mnanisoma mno hapa JF kuweni makini. Inakera!
Rais wa TFF Karia, Makamu wako Nyamlani, Katibu Kidau na Msemaji wa Serikali Dk. Abbas najua mnanisoma mno hapa JF kuweni makini. Inakera!