kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Nampenda sana Fei Toto kwakuwa ni mzawa na mtanzania mwenzetu, lakini ni kweli kwamba Aziz Ki ni bora sana kuliko Fei Toto tena kwa mbali sana, lakini na Diara ni bora sana kuliko Matapi. Mfano, hebu waweke sokoni Aziz Ki na Fei Toto wewe utamchukua yupi kati ya hao wiwili. Na ukiwaweka sokoni kuwauza Diara na Matapi wewe utamkimbilia nani?
Aziz Ki ameisaidia Yanga kwenye mashindano ya ndani na mashindani ya nje (caf) na Afrika yote inafahamu hivyo. Diara ni bora sana kwenye ligi na nje ya ligi, kacheza mechi 21 tu za ligi lakini ana clean sheets 14, wastani wa 1.5 (66.6%)kwa mechi wakati matapi kacheza mechi 26 na kupata 15 clean sheets uwiano wa 1.7 (57.6%) ya mechi walizocheza. Lazima twende kwa kutumia namba (statistics). Hakuna kipa wetu hapa nchini asiyependa kuwa kama Diara kwenye goli.