TFF na Bodi ya ligi wataishusha ligi kama wakijichanganya watafanya hivi

TFF na Bodi ya ligi wataishusha ligi kama wakijichanganya watafanya hivi

Mchezaji ni package sio tukio
Kama package basi fesal anapackage nzito iliyojaa maana amefanya vizur yanga na pia akaibeba na azam na hapo alikaaa miiezi kazaa bila kucheza mpira.........
 
Wewe ni mjinga yaani Aziz Ki na Diara wakikosa Tuzo ligi YETU itashuka kiaje yaani?? Huu upumbavu wa Simba na Yanga unawaharibu Sana!!
 
Kama package basi fesal anapackage nzito iliyojaa maana amefanya vizur yanga na pia akaibeba na azam na hapo alikaaa miiezi kazaa bila kucheza mpira.........
MVP wa ligi kuwa Aziz mume wa mobeto ni sawa kabisa. Silalamiki Fei kuwa MVP wa FA
 
Wewe ni mjinga yaani Aziz Ki na Diara wakikosa Tuzo ligi YETU itashuka kiaje yaani?? Huu upumbavu wa Simba na Yanga unawaharibu Sana!!
Kama MVP wa ligi angekuwa Putin ligi ingeshuka na kuitwa mbwa
 
Aziz ki ndo MVP
Hii italiinua soka letu, maana ligi yetu inatazamwa na wengi nje ya mipaka, wanafuatilia performance za wachezaji wetu mmoja baada ya mmoja; wanawajua. Isingiwezekana Diara na Aziz Ki wakose tuzo bila watu kutubeza na kututukana na hata kuidharau ligi. MiMi nimeridhishwa na utoaji wa tuzo hizi msimu huu kwa 98% . Karia oyeee kwa hili kwa tuzo ku reflect kilichotokea kwenye msimu. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe.
 
Back
Top Bottom